Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Acha kunichonganisha bas! Life la uraiani tamu sana.hongera kwahiyo zile taarifa muhimu zitakua zinakufikia na wew kwa wakati,, ngoja nianze kuishi na wew vizuri😅
Acha kunichonganisha bas! Life la uraiani tamu sana.hongera kwahiyo zile taarifa muhimu zitakua zinakufikia na wew kwa wakati,, ngoja nianze kuishi na wew vizuri😅
sa hapo uchonganishi wangu ni upi jamni?😂Acha kunichonganisha bas! Life la uraiani tamu sana.
Neno taarifa limekaa kichochezi sana.sa hapo uchonganishi wangu ni upi jamni?😂
ooh basi pole nimetengua kauli,, basi tufanye ni story na wala sio taarifaNeno taarifa limekaa kichochezi sana.
Sema ndo hivo chukua tahadhari madogo wanapiga patrol online na offline.ooh basi pole nimetengua kauli,, basi tufanye ni story na wala sio taarifa
nimekuelewa mpajiSema ndo hivo chukua tahadhari madogo wanapiga patrol online na offline.
Yeah kuna ishu moja ya utekaji waliwahi kumuhusisha nayo, nadhani ilikuwa 2024.aiseee,, kumbe ndo ipo hivy
Siyo poooa,Sema ndo hivo chukua tahadhari madogo wanapiga patrol online na offline.
Mpiga dili yule , mission town .. wengi wanamuona kama mshirikina . na akimsaidia mtu lazima aoneshe mpaka meseji.ila twende mbele turudi nyuma, hivi anajishugulisha na nini haswa au anafanya kazi gani? maana toka nafuatilia post zake huwa naona tu anajipost yeye na mali zake sijui kanunua gari flani mara appartment flani au yupo vacation ila kazi anayo fanya ni ipi inayompa hiyo mipesa
😀 😀 😀Atakuwa MziguaMusk ana chembe chembe za uAfrika si kazaliwa bondeni
Hamna hata code ya maana vitu vingi vipo open sana hata wasipokwambia wao bado kuna sources nyingi.I was somewhere, sema wakilewa wanatoa code, sanaa
Km hujazaliwa kwenye pesa pekee ila ukizaliwa kwenye pesa pesa unaziona kitu cha kawaida tu maana umezikuta mpaka kwenye madustbin ya ndani kwenu sasa nini cha kushangaza hapo umezaliwa kabla hujakua kuna magari yako yamepaki uwani yanakusubiri ukue uendeshe na kila siku unayaona utababaika nini kujionyesha, wengi hua wanaishi private life ila kujiproud sometimes hua wanajiproud ila sio kwenye media ni ukiongea nao personal ndio watakwambia tuvituvitu na tena hapo umewatekenya sanaRaha ya pesa ni kumiliki vitu vizuri na vya thamani, sasa ukiwa na pesa huna vitu vizuri una tofauti gani na asiye nazo? Pesa zenyewe hazitaki kujificha! Unawezaje kuzificha?
Wengine wakienda jela wananenepa.aisee,, sema hapa duniani ni kukaa ki masta tu japo namhurumia ambavyo alikua na kimwili kidogo sijui saivi kabaki namna gani,, ila ndo maisha
Madogo gani tena?Sema ndo hivo chukua tahadhari madogo wanapiga patrol online na offline.