Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hata kwenye kumiliki vitu vizuri vya thamani nako, kuna tofauti kati ya anayetaka kumiliki vitu vizuri vya thamani kujiridhisha yeye mwenyewe na anayetaka kumiliki vitu vizuri vya thamani kuwaringishia walimwengu.Raha ya pesa ni kumiliki vitu vizuri na vya thamani, sasa ukiwa na pesa huna vitu vizuri una tofauti gani na asiye nazo? Pesa zenyewe hazitaki kujificha! Unawezaje kuzificha?
Huyo wa kwanza anaweza kuwa na hivyo vitu ndani kwake akaridhika, huyo wapili haridhiki mpaka a post Instagram mjue anavyo.