Tunajitahidi kujenga viwanja vya mpira (Afcon) lakini timu yetu bado mbovu.

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
8,598
Reaction score
9,539
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027?
sina mengi ya kusema.
 
Hiyo team ya maccm ifungwe tu
 
NI KWELI!FIKIRIA HATA INTANETI NI TATIZO TIKAMPUNI ZA SIMU ZIMEKAA KITAPELI, VODACOM,AIRTEL, TIGO,TTCL YAANI KAMPUNI WANAFIKIRIA WIFIIII TU!!NENDENI KWA SHARE HOLDER MKAJIFUNZE NAMNA YA BIASHARA INAVYOFANYIKA ,GERMAN,UK NK
 
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027?
sina mengi ya kusema.
Kwa hiyo mlitegemea timu yenu ya ccm iwe imara siyo! Wekeni fungu la kuwahonga marefa. Labda itawasaidia.
 
Back
Top Bottom