Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI
Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo.
Malalamiko...
Viwanja vya Mradi wa Mvuti, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, viliwekwa kwenye mfumo vikiwa katika hali ya Preview, lakini mara tu vilipoanza kupatikana (Available), vilibadilika moja kwa moja na kuwa Sold Out.
Hili limekaaje, wakuu? Kuna michezo gani inaendelea nyuma ya pazia? Wanachofanya ni...
Wakazi wa Nala Chihoni tulionunua viwanja kupitia kampuni ya Infinity Real Estate iliyopo Dodoma mtaa wa Jamal na kupewa hati ya wizara tumepewa siku 14 kuondoka, notice ifikapo tarehe 1 Novemba 2026 tutabomolewa nyumba zetu— Halmashauri na Wizara ya Ardhi zitoe majibu.
Niliingia mkataba wa...
pata viwanja Kwa bei nafuu Bagamoyo makurunge Kuanzia Milion moja na laki tano unajipatia kiwanja chenye ubwa wowote ofa hii ipo paka Mwezi wa 12
Kwa mawasiliano zaidi
0742749886
0616199464
Viwanja vinauzwa vikawe, 4 km kutoka baobab secondary.
kuanzia sqm 400 mpaka 700 sqm
bei tzs 30,000 tzs kwa sqm
vimepimwa na wizara na hati unapata
malipo ni kwa cash ama advance payment na installment
0796171467
hivyo
ila
ili
inawezekana
katika
kiwanja
kununua
kusema
mashetani
mtaa
mtu
nataka
shetani
siku
upimaji
upimaji wa viwanja
ushetani
viwanja
wake
wamarekani
Viwanja vinauzwa
location; Vikawe, njia ya kwenda kibaha tamco, 4 km kutoka baobab secondary
bei: 30,000 tzs kwa sqm
malipo cash na installment
kuanzia sqm 400-700
vimepimwa
0796171467
Haiwezekani viwanja siku hizi havikai kabisa, watu tumeweka mpaka reminder alarm inaita kuchungulia kwenye App kila kiwanja ikiclick mzigo unaload masaa ukicancel request ukarefresh kimebebwa tayari.
Unacheki kingine ambacho ni cha blue nayo hivyo hivyo, ninkuna mwamko au wilayani mnatuchezea...
Tumeona Majaliwa kajenga kiwanja cha mpira kwao , biteko pia kajenga kiwanja cha mpira kwao
Vipi kuhusu uyu jamaa anayetaka kujenga msikiti wa bilioni 21?
Na yeye kuna kitu chochote alichokifanya kwao?
Maana tunaona tu mtandaon watu wa kwao wanavyolialia
Oooh Mwanza hatuna barabara mara ooh...
Nawauliza, wizara ya michezo pa.oja na wadau wa michezo nchini, hivi kweli hii timu tuliyonayo ndio kweli itaenda kutuwakilisha kwenye michuano ya Afcon 2027?
sina mengi ya kusema.
MRADI MPYA WA VIWANJA – KILUVYA MADUKANI!
📍 Eneo: Kiluvya Madukani(Kwa sumaye)
🏫 Karibu na Shule ya Msingi Tondoroni
🛣️ Umbali wa takribani KM 4 kutoka Morogoro Road
📐 Ukubwa: Mita 20 × 20
💰 Bei: TSh Milioni 9 TU kwa kiwanja
✅ Mtaa mzuri na unaojengwa kisasa
✅ Eneo zuri kwa kujenga nyumba au...
Je wewe unahitaji vyumba vya kupanga bei rahisi?,vyumba vipo chumba kimoja kunzia Tsh25000/= , vyumba viwili kunzia Tsh50000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh150000/=,na upande wa nyumba zinazouzwa pagale ni kuanzia Tsh8000,000/= na nyumba nzima kuanzia Tsh25000,000/= kuendelea na upande wa viwanja...
Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671.
Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
Mimi ni mmoja wa Watanzania wa kawaida ambao tunahangaika usiku na mchana, kwa juhudi na kipato chetu kidogo, ili angalau tuweze kumiliki kipande cha ardhi na kujenga makazi kwa ajili ya familia zetu. Hata hivyo, hali ilivyo sasa mtaani, kumiliki kiwanja kumeanza kuwa ndoto inayozidi kuwa ngumu...
Anonymous
Thread
ardhi
chanzo cha migogoro
janga la kitaifa
viwanja
wizara
wizara ya ardhi
Mnamo Desemba 7, 2022, nilifanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi kwa kununua shamba lililopo Kijiji cha Msufini Kidete, Kata ya Mbezi, Wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani.
Ununuzi huu haukuwa wa mitaani tu; nilifuata taratibu zote za kisheria na za kiserikali. Nilisaini mkataba halali mbele ya...
Viwanja Viwili Vinauzwa.
Mahali: Kigamboni Tundwi Songani.
-Vipo km 20 kutoka Kibada, Mita 200 kutoka barabara kuu.
-Kiwanja namba 509,510 vyote kwa pamoja vinauzwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1378 na SQM 1449.
Bei: Tzs Milioni 35 (Vyote Viwili). Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama...
Habarini, kama mlivyosoma Viwanja 14 vipo pamoja na vinamilikiwa na mtu mmoja vinauzwa... na kila kimoja kina Sqm 800 vina Hati na vinapatikana karibu na uwanja wa ndege mpya wa Dodoma, ni sehemu nzuri kwa makazi hata uwekezaji pia maana vipo karibu na Uwanja wa Ndege mpya.
Ukivichukua vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.