homeboy 255
New Member
- Jul 9, 2024
- 3
- 1
Viwanja vya Mradi wa Mvuti, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, viliwekwa kwenye mfumo vikiwa katika hali ya Preview, lakini mara tu vilipoanza kupatikana (Available), vilibadilika moja kwa moja na kuwa Sold Out.
Hili limekaaje, wakuu? Kuna michezo gani inaendelea nyuma ya pazia? Wanachofanya ni kuweka TAUSI kama galasha!
Hili limekaaje, wakuu? Kuna michezo gani inaendelea nyuma ya pazia? Wanachofanya ni kuweka TAUSI kama galasha!