Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,404
- 3,748
Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI
Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo.
Malalamiko yanahusu nini?
Wengi wanalalamika waliingia kwenye mfumo ndani ya muda mfupi wakakuta mradi uko sold out, hakuna kiwanja kimebaki. Wanajiuliza viwanja 500 imekuwaje ndani ya dakika moja havipo?
Nini kinaweza kusababisha?
Viwanja vilitangazwa kwenye page za halmashauri mapema pia viliwekwa kwenye mfumo wiki moja kabla kwajili ya kupreview. Tuchukulie mfano mdogo na hesabu ndogo tu za kitoto. Endapo taarifa iliwafikia watu 30 tu kila mkoa na Tz ina mikoa 30, basi watu 900 hiyo siku waliingia TAUSI kununua viwanja 500. HAUKUWA PEKEYAKO TAUSI HIYO SIKU.
Mchakato wa kununua kiwanja ukoje?
Kwa mtu mwenye uzoefu wa kununua viwanja TAUSI, inamuhitaji sekunde moja hadi moja na nusu kununua kiwanja kimoja. Sasa watu 900 watumie sekunde 3 tu kununua viwanja 500, unadhani watahitaji masaa mangapi? Unadhani hivyo viwanja vitabaki hapo masaa mawili?
Kwanini page inakuwa nzito?
Ile ni Web page ambayo watu wengi wakiingia kwa wakati mmoja inakuwa nzito kidogo, kama device yako ina RAM na Processor dhaifu itahangaika au kutumia nguvu kubwa kufungua hiyo web page mwisho wa siku simu itaishia kuganda kwa sekunde kadhaa kati ya sekunde 5 hadi kumi, kwa huo muda watu 900 watakuwa wameshanunua hivyo viwanja 500 kwasababu inahitaji sekunde moja tu kununua kiwanja.
Unapaswa kufanya nini 1
Kunapokuwa na mradi potential kama huu inabidi ujipange mapema. Tembelea Tausi mara kwa mara na unapoona kuna mradi mpya umewekwa, soma masharti mapema uyaelewe, angalia bei za viwanja na uchague viwanja unavyoona unamudu gharama zake, angalia viwanja vilivyo maeneo mazuri kama barabara kuu n.k
Ukishakuwa na plan mkononi siku ya kununua unaenda moja kwa moja kwenye kiwanja husika unaselect kiwanja unaclick buy, then una accept terms unaclick ok unakuwa umenunua, hii haikuhitaji dakika moja ni sekunde moja hadi moja na nusu. Wengi wanatumia muda mwingi kusoma zile terms ambazo zinakuchukulia takribani sekunde 7 ukimaliza kusoma hapo utaambiwa kiwanja unachojaribu kununua kimeshanunuliwa, haujachezewa ni mwenye speed kukuzidi keshanunua. Ndomana mradi unawekwa mapema ili kukusaidia kujua masharti mapema na kufanya maamuzi.
Unapaswa kufanya nini 2
Siku ya kuuzwa viwanja potential kama hivyo vya mvuti. Hakikisha una device yenye uwezo mzuri, uwe na internet yenye speed nzuri, funga app au site nyingine zinazotumia internet kwenye device yako, ingia kwenye mfumo dakika 10 kabla ya kuuzwa viwanja, zikibaki dakika mbili au moja refresh page mara tatu hadi nne, na ikifika sa4 kamili ambao ni muda wa kuuzwa viwanja refresh page haraka sana then anza kununua.
Kama page itaload muda mrefu usisubiri imalize, kama inachukua muda mrefu kuload refresh tena haraka ili uweze kuchagua na kununua kiwanja ulichokusudia. Wengi page inapoload anaacha hadi itakapomaliza yenyewe na hatimae anakutana na sold out, ikichukua muda refresh tena, hiyo inasababishwa na msongamano mkubwa wa watu kwenye page moja.
Unaelewa masharti ya mradi?
Wengi wanalalamika ila hawajui hadi kufikia jana viwanja vingi vya MVUTI vilikuwa vimerudi kwenye mfumo. Masharti ya mradi ilikuwa ni ndani ya masaa 24 kila kiwanja kiwe kimelipiwa application fee, wale ambao hawakulipa application fee viwanja Zaidi ya 100 vilirudi kwenye mfumo tarehe 31/10/2026.
Na waliochukua hivyo viwanja hiyo tarehe 31/10/2026 wale ambao hawakulipa application fee ilipofika tarehe 01/11/2026 control number zao zili expire na tarehe 02/11/2026 ambayo ni jana vimerudi viwanja Zaidi ya 70 kwenye mfumo.
Binafsi nilihold viwanja viwili kwenye mradi wa MVUTI na watu wengine wengi walipata viwanja pia.
Sijaandika kutetea, nimeandika kile ninachokifahamu kwa uzoefu wa takribani mwaka na miezi tisa wa kutumia na kunufaika na mfumo wa TAUSI.