mradi

  1. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Vilio mradi wa viwanja Mvuti Dar es salaam. Uzoefu wangu umenisaidia.

    Nimeona watu wengi sana wakilalamika kuhusu viwanja vilivyouzwa MVUTI Dar es salaam tarehe 30/10/2026 kwenye mfumo wa TAUSI Haya ni maoni yangu kwa uzoefu wa muda mrefu wa kutumia mfumo wa TAUSI. Uzoefu wa kunua viwanja, kuomba leseni za biashara, kushiriki Auction kwenye Mfumo. Malalamiko...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku chache baada ya Waziri Kadogosa kutoa maelekezo, Mitambo 41 yarejeshwa katika Mradi wa Iringa Bypass

    Agizo lililotolewa na Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, mwezi Oktoba 2026, mkoani Shinyanga, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Msalala, wilayani Kahama, limeanza kutekelezwa baada ya vifaa na mitambo ya ujenzi kuanza kurejeshwa katika maeneo ya miradi husika, hatua inayolenga kuhakikisha...
  3. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  4. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Hata Mradi wa SGR unatushinda kweli Kuendesha?

    Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi, Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS yafungua njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne Nsalaga - Ifisi

    Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mbeya umeanza kutekeleza maelekezo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, kwa kufungua maeneo na njia 106 za pembezoni mwa mradi wa ujenzi wa barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, hatua inayolenga...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ifakara, mradi wa maji miji 28, kutoa hali ya huduma asilimia 42 hadi 100

    Mradi wa maji wa miji 28 Ifakara, kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa asilimia 100 kutoka asilimia 42. Maji yatazalishwa kwa siku lita milioni 20 kwenda kwa wananchi, ilhali mahitaji ya wananchi kwa sasa ni milioni 10. Serikali imewekezakiasi cha Shilingi bilioni 48 katika kuhakikisha...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kadogosa amwambia Mkandarasi wa Barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT - Kakola kuwa hataongezewa muda, mradi ukamilike Desemba 2026

    Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amemtaka mkandarasi anayejenga barabara ya Kahama–Bulyanhulu JCT–Kakola yenye urefu wa kilomita 73, kuhakikisha anakamilisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami ifikapo Desemba 2026, kama ilivyoainishwa katika mkataba wa mradi huo. Kadogosa ametoa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa Rwanda wapata maarifa mapya kutoka mradi wa mafunzo wa China

    Ndani ya chumba cha mafunzo katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, mjadala kuhusu chakula, kilimo na teknolojia unaendelea wakati washiriki wakisikiliza, kuuliza maswali, na kubadilishana uzoefu na wataalamu wa China. Kwa wataalamu wa Rwanda wanaohudhuria kozi hiyo ya Teknolojia ya Uchakataji na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilayani Magu hatuna maji kwa wiki ya tatu, ila bili kila mwezi tunapewa

    Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu. Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
  11. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    NINAVYO UTAZAMA MRADI WA REFINERY KENYA. Jana Kenya na Dangote wamezindua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta huko Lamu Kenya. Ni hatua muhimu sana, na ni mradi unaotazamwa kama alama ya uchumi imara wa Kenya wenye thamani ya dola Bilioni 20. Lakini kwangu nautazama tofauti kidogo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mradi wa Daraja la Mto Sanga lililopo Meatu Shinyanga umekamilika ila Wafanyakazi tunadai mishahara tangu Aprili 2025

    Sisi wafanyakazi wa ujenzi wa Daraja la Mto Sanga linalounganisha Ifungilo na Usangijo, Wilaya ya Meatu, tunailalamikia Kampuni ya Busangwa Company Limited ya Shinyanga kwa kushindwa kutulipa stahiki zetu baada ya kumaliza kazi ya ujenzi wa daraja hilo. Tulifanya kazi kwa uaminifu tangu mwezi...
  13. K

    JamiiForums Tanzania MUSEVI anasema hajui mradi wa Tanga kinachoendelea!!! Tanzania ni janga

    Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ndani ya Miezi mitatu mradi wa maji Ngorongoro ukamilike

    Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa vijiji vya Ng'arwa,Mageri, Tinanga, Olorieni, Magaiduru,Mgongo,Yasi na Mdito. Waziri wa Maji Mhe Jumaa...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

    Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026. Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
  16. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

    Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi. Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi...
  18. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu, Kenya: Sio refinery tu! Dangote asema mradi huo utazalisha hadi 1,000MW za umeme

    Mradi wa Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote katika kaunti ya Lamu unaonekana kuwa mkubwa zaidi ya refinery ya mafuta ambayo imekuwa ikizungumziwa kwa miezi kadhaa. Bilionea huyo amesema mradi huo pia utakuwa na mtambo wa kuzalisha hadi megawati 1,000 za umeme kutokana na petcoke(nyenzo...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Akwilapo apongeza utekelezaji wa mradi wa Kisangiro

    MWANGA Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amekagua utekelezaji wa Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi (KKK) katika eneo lililokuwa Shamba Na. 2 Kisangiro, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, na kupongeza hatua zilizofikiwa katika utekelezaji...
  20. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mbunge jimbo la Moshi mjini Ibrahim Shayo alia na mkandarasi mradi wa TACTIC,amuomba Mwanri amtimue akidai hana uwezo

    Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya chama Cha Mapinduzi (CCM),Ibrahim Mohamed Shayo amemuomba Naibu Katibu mkuu ccm Taifa Agrrey Mwanri kuingilia kati ujenzi wa mradi mkubwa wa uboreshaji wa miundpmbinu ya Barbara na miferji ya maji ya mvua kwenye kata nane kati ya 21 za Manispaa ya...
Back
Top Bottom