Hata Mradi wa SGR unatushinda kweli Kuendesha?

Bird Watcher

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
4,614
Reaction score
9,689
Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,

Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!

Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
 
Mkuu, hakuna mbunge wa CCM anaweza kuongelea hilo. Ulimsikia mbunge yeyote akizungumzia kauli ya kijinga ya Waziri wa Ujenzi Kadosa kuwa anafikiria kuweka tozo ya barabara wakati tozo ya namna ipo kupitia road toll?

Vv
 
Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,

Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!

Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
Viongozi ndiyo wanamiliki maBUS unatarajia hizo seats za Daraja la chini ziwe wazi?
 
Siku zote kiongozi mkuu akiwa legelege kama mlenda lazima kila kitu kiharibike.Hadi kufika 2030 nchi itakuwa taabani kabisa
 
"wazabuni" hamna shida waje tu lkn wanunue treni zao wenyewe na pia kulipia kutumia reli, uzabuni wa mwendokasi ni wizi, dhuluma na utapeli ...
 
unaanzisha kitu huna raslimali watu lazima kife nashukuru kwasasa vyuo volivyoazishwa watu wasome mambo ya malokomotivu
 
Wakuu, Mradi wa SGR Upande wa Ticketing ni kama tumefeli hivi,

Website ya SGR ni Iko down tangu Jana na muda wote train kwa ordinary seats zimejaa zipo Zile za Bei Tu, Juzi kuna Mbunge ame raise concern kuhusu issue hio na Kuhoji kama kuna Hujuma zinaendelea Kwenye Mradi Huo lakini Majibu hayakurithisha!!

Je ni kweli tumeshindwa Kuendesha Mradi wa SGR? Basi tutafute wazabuni watusaidie Kuendesha kaka mlivo kwa BRT
No hurry in Africa
 
huu mr

adi ubinafsishwe,serikali kufanya biashara ni kitu ngumu sana,mali ya umma hainaga uchungu,wabongo ni wezi sana
 
Kama kawaida yetu ,unatengeneza Tatizo ili ujifanye badae unatatua Tatizo.
 
Back
Top Bottom