Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
Dangote pia ame insist viongozi wa Africa waache mara Kuingia mkenge na investors ambao Kutekeleza miradi hio ni shida
Alivosema M7 ni kuwa haelewi maamuzi gani yalifikiwa Mpaka Lamu ndio ikawa chosen Ile Hali EAC bloc awali ili propose plant Ujengwe Tanga
Lakini tajiri ameshafanya Maamuzi na Leo mradi umefunguliwa officially kuanza ujenzi, Good enough ni Kuwa Dangote amereserve shares Kiasi Fulani kuwa ziwe bought na Nchi majirani na Pia ameenda mbali na Kudai kuwa hio refinery shares zitakuwa listed Nairobi stocks Exchange
Wakenya wanapinga Huo mradi kwasababu zisizo na mantinki Tu mana having a project that will create direct jobs kama 60k ni mradi safi
At all wanaopinga hio project ni anti Ruto na wanahisi Ruto nae ana share kupitia offshore companies Ivo they just ask for investment transparency
Bongo wahuni na wanasiasa wenye ushawishi serikalini ndiyo wanaomiliki vituo vya mafuta. Watu wa aina hii hawawezi kukubali mwekezaji kutoka nje kuja kuwanyang'anya tonge mdomoni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.