Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.
Nina changamoto ya kucheleweshewa huduma ya kuunganishiwa maji nyumbani kwangu katika Mkoa wa Tanga, Kata ya Tangasisi, Mtaa wa Chungurira.
Nimekuwa nikifuatilia ombi la kuunganishiwa maji tangu mwishoni mwa mwezi Julai, lakini hadi sasa sijapewa Control Number ili niweze kufanya malipo na...
Inasemekana Jamii ya Wamasai wanaopatikana ndani ya vijiji vya Mombo mkoani Tanga hawataki jamii ya wasukuma katika vijiji hivyo...
Inasemekana wametoa hongo ili viongozi wa serikali waunge mkono nia hiyo dhidi ya wasukuma wanaopatikana katika vijiji hivyo...
Inasemekana jamii ya Wamasai...
Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali.
Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
Ni nani anayesambaza taarifa binafsi za watumishi, hususan namba zao za simu, kwa taasisi za mikopo? Kumekuwa na hali ya watumishi kupigiwa simu na kutumiwa ujumbe wa matangazo ya mikopo bila kuomba huduma hizo.
Hali hii inazua maswali kuhusu chanzo cha taarifa hizo na namna taasisi hizo...
Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada.
Wanasema NACTVET hawajafungua...
Mtaa wa Chungurira, Kata ya Tangasisi, Wilaya ya Tanga Mjini, Mkoa wa Tanga. TANESCO walitueleza kuwa wanapitisha umeme wa REA, hivyo wananchi tukafanya wiring na fittings kwa kukopa fedha, wengine wakajenga hata chumba kimoja ili wapate huduma hiyo.
Hata hivyo, tangu mwezi Agosti hadi leo...
Hii barabara ya Segera - TA ilikua calm, rahisi kuendesha, maroli ya hapa na pale, ila sahivi, tofauti yake na ya Morogoro-Dar ni idadi ya vilaka tu.
Wahusika wasiposhtuka mapema, itakua mbovu haijawahi kutokea. Ngoja tuipe mwaka.
Wakuu nimekuja Tanga na tayari nina mawasiliano na wadada kadhaa, conversation zinaonesha naenda kupewa vitu adimu sana, sasa najiuliza vitu kama hivi nawezajekula na condom?
Je nikila kavu vipi naweza toka salama? Asanteni kwa kuja.
Tunapozungumzia Tanga mara nyingi tunafikiria mji wa bandari tunaoujua leo. Lakini kabla ya Tanga ya kisasa, kulikuwa na vituo vya kale vya kibiashara ambapo katika pwani hii.
Moja ya hivyo ni Tongoni.
Magofu ya Tongoni ni magofu ya Waswahili ya karne ya 15 ya msikiti na makaburi arobaini...
Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba.
Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
Habari za jioni?
Kuna barabara ya Pongwe kwenda Chote hadi Mjesani hii barabara kwa miaka mingi sana imekuwa ni mbovu sana japokuwa kuna wananchi wengi sana wanaoishi kwenye barabara hiyo ambayo ipo kwa kiwango cha CHANGARAWE.
Barabara hiyo inakwenda kwenye machimbo ya mawe ya kujengea nyumba...
Na: Dr. Zack, Mtaalam wa Masuala ya Uchumi Duniani
01.10.2026
Kuzinduliwa kwa mradi wa Dangote wa US$16 bilioni huko Lamu, Kenya, jana si habari ndogo kwa Afrika Mashariki. Refinery hiyo imepangwa kuwa na uwezo wa kuchakata mapipa 700,000 ya mafuta kwa siku, ikiambatana na mtambo wa umeme wa MW...
Tukumbuke mradi wa gas tumeongea kwa miaka 20 wenzetu kenya miezi minne uwekezaji $17B na hawana chochote pale! Sasa huu mradi wa Tanga hata Musevi hajui kinachoendelea amesema hata weka pesa mpaka aone plan
Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
Rwanda imeanza kutumia Mombasa kama njia mpya ya kuingiza mafuta baada ya metri tani 40,000 za petrol na diseli kuwasili katika Bandari ya Mombasa, ikiwa hii ndiyo shehena ya kwanza chini ya makubaliano ya Kenya na Rwanda yaliyotiwa saini Juni 29, 2026.
Meli MT Sea Wolf ilitia nanga Kipevu Oil...
Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
Nilituma mzigo wa dagaa kutoka Mwanza kwenda Tanga kupitia kampuni ya basi la RUKSA. Mzigo huo ulipakiwa kwenye basi, lakini baada ya siku tatu ndipo ulipofika Tanga ukiwa umeharibika na kuoza.
Hii ni changamoto kubwa kutokana na ucheleweshaji usio na sababu za msingi, kwani dagaa ni bidhaa...
Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Maji wa Hati Fungani Tanga ametakiwa kuhakikisha anafanya kazi kwa saa 24 ili mradi ukamilike.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) ametoa maelekezo hayo akikagua mradi wa Hati Fungani Tanga unaoendelea katika eneo la Moe.
"Hatuna muda wa kupoteza, mkandarasi...
TANZANIA LEO LASEMA...
MAFANIKIO MENGINE YA SAMIA DESEMBA
🔹Tone la kwanza la mafuta ghafi ya Uganda litakuja Tanga
🔹TPDC yasema Mradi wa Bomba umefikia 92% kumalizika
🔹Baada ya hapo, ni ujenzi wa kitovu cha nishati A. Mashariki
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.