Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi mpaka unafika, ukifika ndio unambiwa boti haipo Leo. Je hizi gharama anabeba nani? Wasafiri wamejaa wanalala nje na mvua zinanyesha , ukuipiga hesabu ya kuludi ulikotoka hasara zaidi, ombi langu kwa wadau wanao husika kutimiza wajiibu wao hasa kwenye taarifa,
#zanzibar3
#zanzibar3