usafiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Usafiri wa Mwendokasi: Nauli ya Tsh 2,000 Mbezi - Gerezani/Muhimbili ni kwa Ajili ya Wanyonge au Matajiri?

    Wakuu salama, Kuna jambo linaumiza sana kiuchumi na kijamii kuhusu usafiri huu wa mabasi ya Mwendokasi (BRT) hapa jijini Dar es Salaam. Naomba kuweka hili mezani ili labda mamlaka husika ziweze kutuangazia sisi wananchi wa hali ya chini. Hivi sasa, nauli kutoka Mbezi hadi Gerezani au Mbezi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Usafiri kutoka Mbagala mgeninani kwenda kariakoo/steshen ni tatizo

    N lini LATRA watafuatilia suala la daladala za vikunai - gerezani /steshen kukatisha route? Nu miaka mingi sasa magari yakanatisha route na kuishia mbagala kuu ilihali yanapaswa kufika mgeninani had vikunai
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbeya Yajipanga Kuipiku Dar na Mwanza Kiuchumi,RC Sagini Asimamia Shoo ya Kuboresha Miundombinu ya Usafiri na Biashara.

    My Take Ili hili litokee inatakiwa kufanyika mambo yafuatayo Kwa haraka sana 1.Kujenga Barabara ya Lami kutoka Mbalizi-Makongolosi-Rungwa JCt-Taborq/Singida 2.Kupanua Barabara ya Lami kutoka Tunduma-Igawa kuwa njia 6 sio 4 pamoja na Bypass zake za Mbalizi na Uyole 3.Kujenga Barabara Kwa lami...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi na Stendi ya Magufuli

    https://youtu.be/ldSen8Z4m_M?si=srOuKM6Txj94BUJn
  6. A

    JamiiForums Tanzania HOJA LATRA toeni vibali kwa daladala, Mwendokasi peke yake haiwezi kukidhi ruti ya Mbagala - Mjini

    Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo. Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta & Gerezani Kariakoo zimekuwa zikinyimwa vibali za kutoa huduma kwenye hizo ruti. Ikumbukwe awali mnamo Juni...
  7. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

    kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Huduma ya usafiri imerejea kama kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oystebay jijini Dar es Salaam. Pamoja na mambo mengine, Viongozi wamekubali kusitisha...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya awamu ya sita imeparalyse, Fikria Usafiri umekwama, hakuna mabasi. Rais Samia wao kajificha

    Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu. Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe. Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia. Samia yupo zake...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Abiria waliokosa usafiri kufuatia mgomo wa madereva, wanaweza kufungua kesi ya kudai fidia dhidi ya makampuni ya mabasi?

    The point is; Msafirishaji alipokea pesa ya nauli na alimpa biria tiketi ya safari ya kwenda mji mwingine kwa ajili ya safari iliyotajwa. Abiria aliripoti ipasavyo katika kituo maalum cha kupandia na akasalia akiwa tayari na mwenye nia ya kusafiri. Muda maalum wa kuondoka ulipita, na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa kutoka Tanga kwenda Pemba changamoto sana

    Kuna abiria kutoka mikoa mbalimbali wamekwama bandarini sababu ya kukoseakana kwa boti ya kutoka Tanga kwenda Pemba , mtu umetoka Mwanza, Geita, morogoro safari ndefu ukijua Safari Yako itakamilika kama ulivyo panga , wakati huo kabla ujasafiri unapiga namba za huduma kwa wateja haipokelewi...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakaribia kuzindua huduma za usafiri wa kamba ( cable transport )

    Tanzania inaelekea kuanzisha huduma za usafiri wa magari ya kamba (Cable Transport) baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) kuanzisha kitengo maalum kitakachosimamia na kudhibiti aina hiyo ya usafiri. Mkurugenzi Mkuu wa LATRA, Habibu Suluo, amesema Kitengo cha Udhibiti wa Usafiri...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hatuelewi nauli rasmi ya usafiri wa umma Arusha - Moshi ni sh ngapi? LATRA toeni ufafanuzi

    Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha – Moshi – Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma. Katika nyakati mbalimbali, imeonekana kuwa baadhi ya abiria hutozwa nauli tofauti, huku viwango vikibadilika kati...
  15. Big Dy

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa bajaji na boda boda katika jiji la Dar

    Kwa mamlaka husika LATRA na wasaidizi wake likiwemo jeshi la polisi lenye mamlaka ya kulinda na kuhifadhi mali za raia, wameshindwa vipi kuvidhibiti vyombo hivi tajwa haswa katikati ya jiji na viunga vyake. Maana tukiachilia mbali ajali tunazo ziona kila siku barabrani vijana wengi kuumia na...
  16. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu kama una miaka 35 kwenda juu jitahidi umiliki chombo chochote cha usafiri.

    Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu. Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Mh Dc Magoti sisi watu wa Makurunge tunateseka na usafiri hujawahi kushindwa ,tenda kama tunavyokuamini mzee wa showshow !

    Tunatumia zaidi ya elf 10 kufika na kurudi kutoka mbezi mwisho tunapopandia daldala kwenda makazini kwa siku moja tu . Bajaji na bodaboda wanaamua tu waseme bei gani hakuna wa kuwagusa zaidia yako mzee wa show show maana uligusa vibaka wakatii ,ukatamka maji tukaungiwa sasa tamko lako la kupata...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi warejea Magufuli Terminal

    Inaelezwa kuwa huduma ya Usafiri wa Mabasi (Mwendokasi) ya abiria kuingia na kutoka Stendi ya Magufuli imerejea na hivyo kupunguza usumbufu uliotabiriwa kwa wateja walio mbali na kituo hiko.
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

    Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion...
Back
Top Bottom