Sarakasi za usafiri wa umma Dar ni ishara tulivyo na viongozi wenye upeo mdogo sana.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Duniani kote kwa wenye akili vyombo vya usafiri wa umma vinavyobeba watu wengi ndio huhamasishwa na kupewa kipaumbele kuingia katikati ya miji huku usafiri wa vyombo binafsi na vyenye kubeba watu wachache vikiwekewa vikwaza mbalimbali vya kimkati kama vile tozo maalumu za kuingia CBD (congestion toll pricing), kuzuia aina fulani ya plate namba za magari binafsi katika siku fulani za wiki kuingia mjini n.k

Tanzania hali ilivyo ni kinyume chake, mgari ya usafiri wa umma yanayobeba watu wengi ndio yanazuiwa kuingia katikati ya mji huku binafsi yanaenda na mtu mmoja au wawili yakiruhusiwa kutamba!

Ni akili za namna gani huwa zinawaongoza viongozi kujenga stendi za mgari nje ya miji badala ya katikati ya miji pamoja na kuzuia magari makubwa yanayobeba watu wengi zaidi kuingia katikati ya miji?!

Hawa watawala wetu wanasafiri kila mara kwenda nchi za wenye akili za ulimwengu wa Kwanza huwa wanajifunza nini hasa?!
 
Ili ukanifunze inabidi uwe akili..sasa hizo akili zenyewe hawana watajifunza nn
 
Shuleni ndio wale watu walikuwa wanaiba majibu ya mtihani na bado wanafeli.
 
Mara kadhaa tumejadili humu kwamba Jiji la Dar es salaam kuwa na main terminal moja ya ma-bus ni uongo wa mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom