Mbeya Yajipanga Kuipiku Dar na Mwanza Kiuchumi,RC Sagini Asimamia Shoo ya Kuboresha Miundombinu ya Usafiri na Biashara.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
My Take
Ili hili litokee inatakiwa kufanyika mambo yafuatayo Kwa haraka sana

1.Kujenga Barabara ya Lami kutoka Mbalizi-Makongolosi-Rungwa JCt-Taborq/Singida

2.Kupanua Barabara ya Lami kutoka Tunduma-Igawa kuwa njia 6 sio 4 pamoja na Bypass zake za Mbalizi na Uyole

3.Kujenga Barabara Kwa lami kutoka Uyole-Makete

4.Kujenga Coldroom za mazao ya Horticulture uwanja wa ndege wa Songwe (Mbeya)

5.Kuhakikisha kunajengwa meli za mizigo na abiria ziwa Nyasa ikiwa ni pamoja na kujenga Bandari kubwa ya Kiwira Port.

6.Kuvutia wawekezaji wajenge Viwanda vya Kuchenjua dhahabu Chunya au Mbeya badala ya kuwa extractive place tuu pamoja na Madini mengine yaliyogundulika.

7.Kutenga eneo maalumu la Viwanda kuanzia pale Songwe Hadi Mbalizi mkabala na au kuzunguka airport

8.Kuondoa Mashamba mjini na kujenga Satellite City pale eneo la Mashamba ya Chuo Cha Kilimo Uyole.Chuo Kihamishiwe Mbeya Vijijini.

9.Kujenga uwanja wa kisasa wa michezo sanjali na kuanzisha matukio makubwa ya michezo mfano mashindano ya magari au Baiskeli kulingana na jiografia ya Mbeya

10.Kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano wenye hadhi ya Kimataifa Ili kusisimua vyanzo vingi vya Utalii vilivyopo.

View: https://www.instagram.com/p/Det5DjNDteG/?rpxt=YWVhZXd1eXVvMWlw

My Take
Safari hii ingewezekana tuu kama tutabadili mfumo wa utawala Kwa kuzipa uwezo mamlaka za Serikali za mitaa na Mikoa (kaunti) kuamua muelekeo wao kimaendeleo badala ya Kila kitu kusubiria hisani au huruma ya Serikali kuu.

View: https://www.instagram.com/p/DeunSViDlZf/?psln=MW5sbzRrZGtjcjVvdw==
 
1.Mkuu wa Mkoa hajachaguliwa kwa kura.

2.Wakuu wa mikoa hubadilishwa mara kwa mara, pamoja na vipaumbele vyao.

3.Bajeti ya miradi ya maendeleo ya mkoa inategemea huruma / hisani ya Rais na genge lake.
 
My Take
Ili hili litokee inatakiwa kufanyika mambo yafuatayo Kwa haraka sana

1.Kujenga Barabara ya Lami kutoka Mbalizi-Makongolosi-Rungwa JCt-Taborq/Singida

2.Kupanua Barabara ya Lami kutoka Tunduma-Igawa kuwa njia 6 sio 4 pamoja na Bypass zake za Mbalizi na Uyole

3.Kujenga Barabara Kwa lami kutoka Uyole-Makete

4.Kujenga Coldroom za mazao ya Horticulture uwanja wa ndege wa Songwe (Mbeya)

5.Kuhakikisha kunajengwa meli za mizigo na abiria ziwa Nyasa ikiwa ni pamoja na kujenga Bandari kubwa ya Kiwira Port.

6.Kuvutia wawekezaji wajenge Viwanda vya Kuchenjua dhahabu Chunya au Mbeya badala ya kuwa extractive place tuu pamoja na Madini mengine yaliyogundulika.

7.Kutenga eneo maalumu la Viwanda kuanzia pale Songwe Hadi Mbalizi mkabala na au kuzunguka airport

8.Kuondoa Mashamba mjini na kujenga Satellite City pale eneo la Mashamba ya Chuo Cha Kilimo Uyole.Chuo Kihamishiwe Mbeya Vijijini.

9.Kujenga uwanja wa kisasa wa michezo sanjali na kuanzisha matukio makubwa ya michezo mfano mashindano ya magari au Baiskeli kulingana na jiografia ya Mbeya

10.Kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano wenye hadhi ya Kimataifa Ili kusisimua vyanzo vingi vya Utalii vilivyopo.

View: https://www.instagram.com/p/Det5DjNDteG/?rpxt=YWVhZXd1eXVvMWlw

My Take
Safari hii ingewezekana tuu kama tutabadili mfumo wa utawala Kwa kuzipa uwezo mamlaka za Serikali za mitaa na Mikoa (kaunti) kuamua muelekeo wao kimaendeleo badala ya Kila kitu kusubiria hisani au huruma ya Serikali kuu.

Mbeya ingekuwq mbali sana kiuchumi ila serikali ya CCM haiko tayari kuona Mbeya inapiga hatua kimaendeleo.

Magufuli alisema bayana kwamba hawezi kupeleka maendeleo Mbeya kwa sababu walimpa kura chache sana kuliko mikoa yote
 
My Take
Ili hili litokee inatakiwa kufanyika mambo yafuatayo Kwa haraka sana

1.Kujenga Barabara ya Lami kutoka Mbalizi-Makongolosi-Rungwa JCt-Taborq/Singida

2.Kupanua Barabara ya Lami kutoka Tunduma-Igawa kuwa njia 6 sio 4 pamoja na Bypass zake za Mbalizi na Uyole

3.Kujenga Barabara Kwa lami kutoka Uyole-Makete

4.Kujenga Coldroom za mazao ya Horticulture uwanja wa ndege wa Songwe (Mbeya)

5.Kuhakikisha kunajengwa meli za mizigo na abiria ziwa Nyasa ikiwa ni pamoja na kujenga Bandari kubwa ya Kiwira Port.

6.Kuvutia wawekezaji wajenge Viwanda vya Kuchenjua dhahabu Chunya au Mbeya badala ya kuwa extractive place tuu pamoja na Madini mengine yaliyogundulika.

7.Kutenga eneo maalumu la Viwanda kuanzia pale Songwe Hadi Mbalizi mkabala na au kuzunguka airport

8.Kuondoa Mashamba mjini na kujenga Satellite City pale eneo la Mashamba ya Chuo Cha Kilimo Uyole.Chuo Kihamishiwe Mbeya Vijijini.

9.Kujenga uwanja wa kisasa wa michezo sanjali na kuanzisha matukio makubwa ya michezo mfano mashindano ya magari au Baiskeli kulingana na jiografia ya Mbeya

10.Kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano wenye hadhi ya Kimataifa Ili kusisimua vyanzo vingi vya Utalii vilivyopo.

View: https://www.instagram.com/p/Det5DjNDteG/?rpxt=YWVhZXd1eXVvMWlw

My Take
Safari hii ingewezekana tuu kama tutabadili mfumo wa utawala Kwa kuzipa uwezo mamlaka za Serikali za mitaa na Mikoa (kaunti) kuamua muelekeo wao kimaendeleo badala ya Kila kitu kusubiria hisani au huruma ya Serikali kuu.

Hawana mpango wa kuipiku Dodoma?
 
Mbeya ilitakiwa iwe tayari imekamilisha hivyo vitu, ila Sema wamezingua sana. Mbeya ipo mbali sana ila inakwamishwa na siasa. Ilitakiwa ijengwe liwe Jiji kweli ....mpaka Leo barabara za SADC ndio Bora kuliko walizojenga watawala wetu, TAZARA tangu ukoloni ...yaani wanataka mpaka ife kabisa wakati inawasaidia wao na nchi za jirani
 
Siasa mbaya zinaanzia Mbeya Hadi huko taifani wanapewa adhabu.
 
Back
Top Bottom