Mifumo ya awamu ya sita imeparalyse, Fikria Usafiri umekwama, hakuna mabasi. Rais Samia wao kajificha

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu.

Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe.

Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia.

Samia yupo zake Kizimkazi anaogelea.. Huku watanzania wakitaabika na Usafiri kwenda Mikoani.

Mifumo ya Serikali ya Tanzania imeparalyse, hakuna anaye mjali Mwananchi
ccmtanzania_1790755804904.jpg
 
View attachment 3680906
Wateseka ukiwa wapi wewe!
 
Tangu lini vilaza wakatatua matatzo. Yaani dereva anaongea point utafikiri ana PhD lakn hawa wenye elimu za kupewa wanaongea porojo tu
 
Samia kuwa Rais ni funzo kwa binadamu, Kikwete na Magufuli walimjaribu Mungu mwenyenzi sasa ndiyo katuonesha ukuu wake tusingefika huku! Walimjaribu Mungu kwani walijua Magufuli angekuwa hai mpk mwisho wa urais wake na hawakuhangaika ya kwamba makamu wa Rais ni Rais RESERVE km walivyo wachezaji. Ni ngumu kumeza ndipo utakawaamini Waafaghanistan wako sahihi, mwanamke hastahili kuwa kiongozi mkuu pamoja na kwamba kuna exceptionalities km yule wa Namibia naona ana unafuu! Mzenji km mzenji ht mwanaume hawezi kuongoza hii nchi yetu, utamaduni wao umekaa kizembe sana! Hebu angalia ktk yote haya huwezi kumwona wala kumsikia waziri wa Uchukuzi yule mpemba Makame Mbarawa Mnyaa na Samia anampenda anamlinda km uchi wake! Mbarawa hafai ht kuwa mkuu wa wilaya. Anachofanya Samia ni kwamba amepata jukwaa la kuwapa ulaji wazanzibari na waswahili(waislam) wenzake hayo mengine ni ya ziada. Safari hii ndiyo amekuwa na kibri, jeuri, amejaa dharau maana kamandi zote za kijeshi ameweka ndg zake ktk imani kasoro CDF ambaye anajua hawezi kufanya lolote. Samia inatakiwa alazimishwe kujiuzulu atuachie nchi ameshashindwa.
 
Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu.

Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe.

Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia.

Samia yupo zake Kizimkazi anaogelea.. Huku watanzania wakitaabika na Usafiri kwenda Mikoani.

Mifumo ya Serikali ya Tanzania imeparalyse, hakuna anaye mjali Mwananchi
View attachment 3680906
Una uhakika yupo Kizmkazi mkuu au unataka......... hebu ngoja kwanza niende Ngapa mimi😳😳🥹😭
 
Kucheka Mtacheka Lakini Tanzania Inadoda
Jana Tu Taifa Limepata Hasara Kubwa Sana Upande Wa Usafiri
 
Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu.

Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe.

Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia.

Samia yupo zake Kizimkazi anaogelea.. Huku watanzania wakitaabika na Usafiri kwenda Mikoani.

Mifumo ya Serikali ya Tanzania imeparalyse, hakuna anaye mjali Mwananchi
View attachment 3680906
Screenshot_20260516-003803~2.png
 
Back
Top Bottom