Anayeua watu ni Allah na shetani mkuu.Kama unaamini MUNGU yupo, basi kifo amekipanga yeye, hata mkiwa mmoja kapanda gari mwingine kalala nyumbani kama ilipangwa mfe.. basi mtakufa hakuna kizuizi.
Hii imemuuma sanaa kuliko yule feki.. swali la kizushi.... Je viongozi wataenda kumpa pole tenaa🥹🥹Wicknell Chivayo umejua kuniliza mimi sa100 nikiwa hapa eda.
Enewei, kifo ni kifo tu.
Planned deathKwa hii logic basi msiishi pamoja nyumba inaweza shika moto ikaondoka na wote.
Kwahiyo cha kufanya mtoto mmoja anakua labda Mtwara, mwingine Moshi, wewe Iringa na mama yao Dar.
Ukitaka kujamiiana na mama yao unaenda Dar unajamiiana kwa saa mbili labda halafu unageuza Iringa.
Watoto wanakuja weekend wanakaa dakika tano wanaondoka ili majanga yasiwakute pamoja.
Wasipoenda awapige chiniHii imemuuma sanaa kuliko yule feki.. swali la kizushi.... Je viongozi wataenda kumpa pole tenaa🥹🥹
Allah ndio nani??Anayeua watu ni Allah na shetani mkuu.
😅😅😅😅Kwa hii logic basi msiishi pamoja nyumba inaweza shika moto ikaondoka na wote.
Kwahiyo cha kufanya mtoto mmoja anakua labda Mtwara, mwingine Moshi, wewe Iringa na mama yao Dar.
Ukitaka kujamiiana na mama yao unaenda Dar unajamiiana kwa saa mbili labda halafu unageuza Iringa.
Watoto wanakuja weekend wanakaa dakika tano wanaondoka ili majanga yasiwakute pamoja.
Kwamba kafiwa tena?Hii imemuuma sanaa kuliko yule feki.. swali la kizushi.... Je viongozi wataenda kumpa pole tenaa🥹🥹
Hilo nalo lipoPlanned death
We kamtu .......... ! 😅Wicknell Chivayo umejua kuniliza mimi sa100 nikiwa hapa eda.
Enewei, kifo ni kifo tu.