Nilisafiri familia nzima kwenye family car, mke, watoto na mama lakini nilifika salama. Kikubwa ni kumwomba Mungukama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Pia familia moja hamtakiwi kulala au kuishi nyumba mojakama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Tatizo watu ni wabishi sana.kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Kifo huwa ni hatima ya Kila binadamu hivyo huwa hakikimbiwi na anaye panga tarehe Yako ya kufa ni mungu sio ww.kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination
msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Watu mnanongwa kah!Wicknell Chivayo umejua kuniliza mimi sa100 nikiwa hapa eda.
Enewei, kifo ni kifo tu.
NaamWatu mnanongwa kah!
ExactlyTatizo watu ni wabishi sana.
Kanuni zinasema usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja ,tuishi humo.
Kusafiri familia nzima ni risk sana ,mkila BUYU kwa pamoja possibility ya kupoteza familia nzima ni kubwa.
Huwa nikimuona DAYAMONDI amepanda ndege na UKOO wake wote na watu wanaowazunguka huwa nafikiria kwamba jamaa huwa hawazi RISK zinazoweza kumtokea?
100%Planned death
Unajua planned deathok hata usiishi nyumba moja na mke na watoto wako pia ili ukitokea moto usiku msichomeke wote, au hata msile chakula kimoja kilichopikwa na kutayarishwa pmj ikitokea kina sumu msife wote, oh vp khs mkialikwa kwenye harusi ya ndugu msiende wote pmj kwani kwenye hiyo harusi linaweza kulipuka bomu mkafa wote. i mean, hauwezi kujikinga na kifo, Christians tunaamini hapa duniani tuko safarini na tunapita tu, Christians tunaishi milele na maisha yetu tumeyakabidhi mikononi mwake.
Yoh 6:47 ...
Kwaiyo hata mungu wenu yesu aliuliwa na Allah?Anayeua watu ni Allah na shetani mkuu.