Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

Wabongo banaa huyu kamalizwa na ma don, deals zake zisizoeleweka mwisho wake ni hivi tu na ma mafia uwa wanahakikisha wanakumaliza na kizazi chako chote, hapo walimlia timing akiwa na familia yake kuimaliza yote. Apumzike kwa amani .
 
Unaelimishwa uhalisia wa maisha wewe unaingiza imani hivi mfano familia ina watu sita mnaenda mwanza wawili mnapanda Isamilo, wawili wanapanda Katarama, wawili wanapanda Ally's star, hebu eleza huu umma Mungu anawauwaje wote kwa dakika moja? We endeleza upuuzi wa kusafirisha watoto wote nane kwenye basi moja halafu umtupie Mungu lawama za kipuuzi.
Safi san
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Kuna mzee yeye ni mwekezaji hapa tz wakati wa board meeeting unakuta wanatoka watu wanne Amerika ila kila mmoja upanda ndege yake.
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
UNapunguza risk tu ila huwezi kimbia kifo. Mnaweza wote fia kwenye nyumba ikiungua au tetemeko au elnino au ajali ya gari au gonjwa au kuuliwa au chochote.....
 
unajua kitu kinaitwa planned death
 
Kuna watu wameteketea kwa moto nyumbani
Kwa hiyo baba alale guest sio

Mimi nimesafiri na familia mara tano
Ila kama ni kifo kitakuja tu na huwezi kukikwepa
Tuombeane mwisho mwema
Kinchoongelewa hapa sio kuzuia risk Bali kupunguza risk
 
Kuna watu wameteketea kwa moto nyumbani
Kwa hiyo baba alale guest sio

Mimi nimesafiri na familia mara tano
Ila kama ni kifo kitakuja tu na huwezi kukikwepa
Tuombeane mwisho mwema
Usibishane na wahenga mkuu

Wewe usipende kusafirisha familia nzima kwenye gari moja

NB. Kuna askofu mmoja alikua anakagua uzio wa jengo lake ukuta ukadondoka gafla na kumtoa uhai wake unaweza kushanga ALIPO FIKA KWENYE UKUTA GAFLA UKADONDOKA NA KUMUANGUKIA
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Mkuu, ukichukuwa data za wasafiri wanaosafiri kifamilia kila siku duniani utabadilisha mawazo yako kwa sababu utagundua kuwa incidence kama hizi hutokea mara chache sana.
 
Usibishane na wahenga mkuu

Wewe usipende kusafirisha familia nzima kwenye gari moja

NB. Kuna askofu mmoja alikua anakagua uzio wa jengo lake ukuta ukadondoka gafla na kumtoa uhai wake unaweza kushanga ALIPO FIKA KWENYE UKUTA GAFLA UKADONDOKA NA KUMUANGUKIA
Ajali hutokea sana ila kwa mfano una gari na mnaenda sehemu inabidi nifanyeje boss
Kweli najua wengi husema hivyo
Lakini ajali mbaya hutokea sana nchi zisizo na uangalifi na kutokutii shuruti
Kwa huku nilipo kila wakati natoka na familia kama ni safari au pleasure

Familia kuisha wote inatokea popote sio ajali ya gari tu bali hata koboko anaweza kuingia ndani akauwa wote kwa mpigo

Maisha haya daa
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Kijiko unakiona, baada ya kula kwa mkono!

Ndoms unaiona, ukishafanya ngono!

Haya maneno unatuambia sisi? ama marehemu?
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Kwahiyo WAchagga mwezi wa 12 wasafiri na mabaaasi?

Mungu akipanga haikwepeki.
 
Back
Top Bottom