safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Safari Miraji

    Picha inajieleza
  2. I

    JamiiForums Tanzania Afrika bado safari ni ndefu sana: Mtoto wa rais Museveni aamuru Kizza Besigye apewe dhamana.

    Katika hali inayoonyesha kwamba mkuu wa majeshi nchini Uganda Jenerali Muhozi Kainerugaba ambaye pia ni mtoto wa rais wa nchi hiyo Bw. Yoweri Museveni, ndiye kwa sasa anaiongoza nchi ya Uganda, ameamua kumpatia dhamana kiongozi mkongwe wa upinzani wa Uganda Bw. Kizza Besigye. Juhudi za kutafuta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakomavu tunajua siyo kila akutakiyae safari njema anataka ufike salama

    WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Wapo wataokusindikiza mpaka stendi ila sio kwa upendo, wanaomba upate ajali WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuuliza umefika wapi sio kwa ukarimu bali wajue ikiwa bado una nguvu za safari ama umekwama kama watakavyo. WATOTO HAWAJUI HILI 😔 Watakuja kukupa pole sio kwa...
  4. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania ‘My Fever’ yafungua milango ya safari ya Malaika Gray katika muziki wa dunia

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MWIMBAJI na mtunzi wa nyimbo Mtanzania, Malaika Gray, ameanza safari yake rasmi ya muziki kwa kutoa wimbo wake wa kwanza, My Fever, akimshirikisha nyota wa Bongo Flava, Marioo. Wimbo huo uliotoka Oktoba 30, 2026, umeandaliwa jijini Dar es Salaam, ambako pia...
  5. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania TRC kwanini siti iliyokatiwa tiketi ya Morogoro–Dar AU Morogoro–Dodoma ionekane imejaa tangu mwanzo wa safari?

    Nimesoma taarifa ya gazeti la The Citizen kuhusu tiketi takribani 782,000 za treni za SGR zilizonunuliwa lakini hazikutumika kati ya Januari na Septemba 2026. Katika ufafanuzi wake Bungeni, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ameeleza kuwa baadhi ya siti zinazoonekana kuwa wazi ndani ya...
  6. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Shida unazo pitia leo, sio hukumu ya maisha yako yote,ni sehemu tu ya safari yako!

    Ujumbe wa kutia moyo, kujenga matumaini na kutokata tamaa katika maisha. Katika maisha kuna wakati unaweza kujikuta unapitia kipindi kigumu sana, kiasi kwamba kila unapoangalia mbele huoni matumaini yoyote. Unajaribu jambo hili linashindikana, unajaribu lile nalo halifanikiwi. Wakati mwingine...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  8. EKO TANZANIA ADVENTURES

    JamiiForums Tanzania 6 Days Ngorongoro Crater, Serengeti and Lake Manyara Safari|2026&2027

    6 Days Ngorongoro Crater, Serengeti and Lake Manyara Safari;This safari is ideal for couples, families, friends, photographers and first-time visitors who want to explore Tanzania's famous northern safari circuit without rushing from one destination to another. With an experienced safari guide...
  9. EKO TANZANIA ADVENTURES

    JamiiForums Tanzania 5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari | Tanzania 2026–2027

    5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari; Discover the extraordinary beauty of Tanzania on this 5-Day Serengeti, Ngorongoro & Tarangire Safari, an unforgettable wildlife adventure that brings together three of the country's most celebrated safari destinations. Designed for travellers who...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Safari Ndefu haumo China pekee, pia unatoa hamasa kwa nchi za Afrika kujiendeleza kwa uhuru

    Mwaka 2026 ni mwaka wa 105 wa kuzaliwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC, na pia mwaka wa 90 wa ushindi wa Safari Ndefu “Long March”. Safari hii ngumu iliweka msingi wa ushindi wa mapinduzi ya China, na kuacha hazina ya moyo unaovuka mipaka ya nchi. Tovuti ya Capital FM ya Kenya hivi...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maisha ni safari ambayo unajua unapokwenda lakini haujui utakacho kutana nacho katika safari hio

  12. Mboju

    JamiiForums Tanzania Updates: Mazishi ya Mama na safari yangu

    Kwanza nianze kwa kutoa shukrani nyingi mno kwa jamii forum na watu wake mmeonesha kuwa ni jamii kweli kwa kuonesha kuguswa na matatizo ya watu wengine hata kama hamfahamiani japo wapo wengi wenye maneno ya karaha lakini wote ni jamii watu kama hawa hawakosagi katika kitu nimejifunza watu wema...
  13. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge. Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu...
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  16. M

    JamiiForums Tanzania Marekani Hajakurupuka ! Iran akishambuliwa huwa anajibu kwa kuzilenga Meli za Mafuta, Je, Atathubutu Kuzigusa Meli za Putin ?

    🔥 MAREKANI ANACHEZA MCHEZO GANI? IRAN ATAZIGUSA HATA MELI ZA MAFUTA ZA PUTIN? 🌍♟️ Marekani inapopambana na Iran, moja ya hatari zinazojitokeza ni Iran na washirika wake kutishia au kushambulia meli zinazohusika na usafirishaji wa mafuta katika maeneo yenye mvutano. Hali hii inapoongezeka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania David Jumbe adai Abdul, kupitia Sumai, anamtafuta ili amteke na kumuua. Asema hajakaa kizembe…

    Nimepata Taarifa toka chanzo ninachokiamini kwamba, Abdul kwa kumtumia Sumai wameamua kunitafuta tena na kuniteka ili waniue. Nilishasema niko wapi wanajua, ila wajue sijakaa kizembe, safari hii wajiandae kuacha utumbo. Siwezi kurudi nyuma kwenye mapambano ya kutafuta haki kwa sababu ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Rais wa FEMATA, John Bina: Tutawashtaki Waliohusika Kula Hela za Wachimbaji Waliolipia Safari ya Canada

    Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), John Bina, amesema viongozi wote ndani ya Shirikisho hilo wanaodaiwa kutapeli fedha za Wachimbaji wadogo watafikishwa Mahakamani na kuhakikisha wanarejesha fedha hizo. Wachimbaji hao walilipa zaidi ya Shilingi Milioni 11 kwa...
  19. Anonymous

    JamiiForums Tanzania Rais Samia adaiwa kufika Zimbabwe, Nyumbani kwa Chivayo kutoa Heshima za mwisho. Vyombo vya Habari vyadhibitiwa

    Rais Samia Suluhu, anadaiwa kufika nchini Zimbabwe pamoja na msafara wake nyumbani kwa mfanyabiashara Wicknell Chivayo kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho (kuhani msiba)/ Kwa mujibu wa mwandishi wa habari wa Zimbabwe, Hopewell Chin’ono, Rais Samia na msafara wake wamewasili katika makazi ya...
  20. WIDERANGE AFRICAN SAFARIS

    JamiiForums Tanzania 3 days shared Small group budget safari in Tanzania

    3 days shared group budget safari in Tanzania | 3 Days / 2 Nights | Shared Group Safari | Budget Safari Join our 3 Days Tanzania Shared Group Budget Safari and explore Tarangire, Ngorongoro Crater and Lake Manyara. Enjoy affordable wildlife game drives, budget accommodation, meals and...
Back
Top Bottom