Rais Samia: Hongera Mwanangu Jihan Kwa Kuipeperusha Vyema Bendera Ya Tanzania. Nakutakia kila La heri katika Safari Yako.

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge.

Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu Na kuipeperusha Vyema Bendera yetu na kufanya kwa Mara ya kwanza Wimbo wetu wa Taifa kupigwa Na kusikilizwa Duniani kote hadi Whitehouse Marekani.

Dunia imetambua nguvu ya Taifa letu la Tanzania na ushawishi tulionao kama Taifa. Tumeushangaza Ulimwengu na kuiduaza Dunia. Dunia imetambua Umoja na mshikamano wa watanzania.

Dunia Imetambua namna Rais wetu Mpendwa alivyoliunganisha Taifa letu na kuwa na nguvu ya Umoja na Mshikamano wa Pamoja . Taifa limegonga vichwa vya Habari vya Dunia yote na kuwa na kiu ya kufika Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Kaliunganisha Taifa?Acheni sifa za kinafiki!Hata yeye anajua ameligawa taifa ndio maana kelele zimekuwa maridhiano!
Mtu mnampa sifa za uongo mpaka yeye mwenyewe akisoma anaona hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
 
Usimuhusishe sa100 wenu na juhudi za mtu binafsi.
Umoja wa Watanzania uliojengwa chini ya uongozi shupavu madhubuti mahiri na hodari wa Rais Samia ndio umewezesha Ushindi huo . Ambapo watanzania wakaamua kuungana kupiga kura kwa wingi kutimiza ile dhana ambayo Rais Samia amekuwa akihubiri kuwataka Watanzania kuwa Wazalendo
 
Kaliunganisha Taifa?Acheni sifa za kinafiki!Hata yeye anajua ameligawa taifa ndio maana kelele zimekuwa maridhiano!
Mtu mnampa sifa za uongo mpaka yeye mwenyewe akisoma anaona hapa napakwa mafuta kwa mgongo wa chupa!
Wivu tu ndio unaokusumbua na roho mbaya yako
 
Uchawa ndio unakusumbua!Unakuta Rais amezungukwa na watu kama wewe,Lazima aingizwe Cha kike na kutotambua ni hasa Kiko mtaani!
Yaani unaweza kusimama na kusema Samia ameliunganisha taifa,uko serious kweli?
Halafu Uzi mwingine unalaumu watu kwa kufurahia vifo vya watu Fulani!Hilo taifa lililounganishwa ni lipi Kwa muktadha huo?Acheni porojo na kulamba watu miguu!
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge.

Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu Na kuipeperusha Vyema Bendera yetu na kufanya kwa Mara ya kwanza Wimbo wetu wa Taifa kupigwa Na kusikilizwa Duniani kote hadi Whitehouse Marekani.

Dunia imetambua nguvu ya Taifa letu la Tanzania na ushawishi tulionao kama Taifa. Tumeushangaza Ulimwengu na kuiduaza Dunia. Dunia imetambua Umoja na mshikamano wa watanzania.

Dunia Imetambua namna Rais wetu Mpendwa alivyoliunganisha Taifa letu na kuwa na nguvu ya Umoja na Mshikamano wa Pamoja . Taifa limegonga vichwa vya Habari vya Dunia yote na kuwa na kiu ya kufika Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251222-120716~2.png
Screenshot_20261006-193938~2.png
 
Yani Watanzania wamemsupport huyo binti hadi ameshinda sasahivi sifa mnazipeleka kwa Samia. Aisee
Rais Samia ndiye kawezesha Ushindi huo . Msikilize hata Niffer namna alivyompongeza Rais wetu na Waziri wetu Mheshimiwa Paul Makonda kwa Kazi kubwa waliyoifanya kuwezesha Ushindi huo
 
Samia ndio alikuwa anavote?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge.

Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu Na kuipeperusha Vyema Bendera yetu na kufanya kwa Mara ya kwanza Wimbo wetu wa Taifa kupigwa Na kusikilizwa Duniani kote hadi Whitehouse Marekani.

Dunia imetambua nguvu ya Taifa letu la Tanzania na ushawishi tulionao kama Taifa. Tumeushangaza Ulimwengu na kuiduaza Dunia. Dunia imetambua Umoja na mshikamano wa watanzania.

Dunia Imetambua namna Rais wetu Mpendwa alivyoliunganisha Taifa letu na kuwa na nguvu ya Umoja na Mshikamano wa Pamoja . Taifa limegonga vichwa vya Habari vya Dunia yote na kuwa na kiu ya kufika Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Samia kajamba mara ngapi leo?
 
Jitu kama wewe unapaswa Kupigwa Risasi ya Moto kichwani hadi ithibitike umekufa kabisa
Hapana, hapaswi kupigwa risasi
Kama anapaswa kupigwa risasi toa reasons tuone logic yako ili tuone uwezo wako wa kufikiri
Taja sababu kwa nini anapaswa kupigwa risasi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia na nuru ya Wanyonge.

Amempongeza sana Jihan Binti yetu Watanzania aliyeliletea Heshima Taifa Letu Na kuipeperusha Vyema Bendera yetu na kufanya kwa Mara ya kwanza Wimbo wetu wa Taifa kupigwa Na kusikilizwa Duniani kote hadi Whitehouse Marekani.

Dunia imetambua nguvu ya Taifa letu la Tanzania na ushawishi tulionao kama Taifa. Tumeushangaza Ulimwengu na kuiduaza Dunia. Dunia imetambua Umoja na mshikamano wa watanzania.

Dunia Imetambua namna Rais wetu Mpendwa alivyoliunganisha Taifa letu na kuwa na nguvu ya Umoja na Mshikamano wa Pamoja . Taifa limegonga vichwa vya Habari vya Dunia yote na kuwa na kiu ya kufika Nchini.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Jihan amefurahisha watanzania wote.
 
Kaliunganisha taifa gani wewe zezeta?

Habari kuu iliyopo ni October 29 tunatimiza mwaka mmoja tangu ndugu zetu wauwawe na muuaji Samuya wa kizimkazi na maiti zao hazijapatikana ndugu wamezika viatu, picha, na nguo.

Huyo Jihan labda ameunganisha wanaccm wenzake na mume wake ila sio taifa.
HUUv6oiWgAEewss.jpg
 
Back
Top Bottom