Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 471
- 1,217
WATOTO HAWAJUI HILI 😔
Wapo wataokusindikiza mpaka stendi ila sio kwa upendo, wanaomba upate ajali
WATOTO HAWAJUI HILI 😔
Watakuuliza umefika wapi sio kwa ukarimu bali wajue ikiwa bado una nguvu za safari ama umekwama kama watakavyo.
WATOTO HAWAJUI HILI 😔
Watakuja kukupa pole sio kwa upendo bali kujua ubaya wao umekudhuru kwa sehemu gani
#Malenga wa Kiha
#Mwanasayansi Saul kalivubha
#FIKIA NDOTO ZAKO