Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Kobe Bryant alikubaliana na mke wake wasipande helicopter pamoja. Wasiwasi wao ukawa kweli kwani Kobe na mwanaye wa kwanza walifariki kwenye helicopter crash.
Nadhani ndege inayokea rarely hivyo sio mbaya kupanda ndege pamoja. Ikitokea ndo hivyo ila ni nadra sana.
 
Kwa hii logic basi msiishi pamoja nyumba inaweza shika moto ikaondoka na wote.

Kwahiyo cha kufanya mtoto mmoja anakua labda Mtwara, mwingine Moshi, wewe Iringa na mama yao Dar.

Ukitaka kujamiiana na mama yao unaenda Dar unajamiiana kwa saa mbili labda halafu unageuza Iringa.

Watoto wanakuja weekend wanakaa dakika tano wanaondoka ili majanga yasiwakute pamoja.
Mkuu matajiri wengi hawapandi helicopter pamoja. Hata gari utakuta Kila mtu na lake. Helicopter humaliza sana watu.
 
Kifo hakikwepeki mzee mana hakijulikani kinakuja lini na wapi. Unaweza fanya hivyo na ikatokea mkaja kuuwawa familia nzima mkiwa nyumbani
 
kifo ni sehemu ya lazima ya maisha ya mwanadamu unataka ukikimbie kifo?...

Ukiona unataka taka kukikimbia kifo inaonesha hujui ulipotoka ,upo wap na unafanya nini ili upate nini na unaenda wapi baadda ya maisha haya ya duniani na unapoenda kuna nini..

kama hujui hayo utakuwa ni mwenye hofu ya kifo maisha yako yote.
 
Risk and vulnerable
Kwa hii logic basi msiishi pamoja nyumba inaweza shika moto ikaondoka na wote.

Kwahiyo cha kufanya mtoto mmoja anakua labda Mtwara, mwingine Moshi, wewe Iringa na mama yao Dar.

Ukitaka kujamiiana na mama yao unaenda Dar unajamiiana kwa saa mbili labda halafu unageuza Iringa.

Watoto wanakuja weekend wanakaa dakika tano wanaondoka ili majanga yasiwakute pamoja.
Risk and vulnerable
 
Death is inevitable, huwezi kukimbia kifo, hiyo ndio destination ambayo fanya ufanyavyo utafika tu.

Family trip is so enjoyable asikwambie mtu!!
 
Kuna kifo halafu kuna kifo cha kuwahishwa kwa uzembe au uhuni wa watu wengine. kwenye Biblia maandiko yanasema miaka 70 ni guranteed ukifa kabla ya hapo we umetoroka.
Biblia ni ya zama za kale mzee. Siku hizi ajali nje nje!
 
inapunguza japo kuna wakati inakuwa ngumu mfano tunasafiri na gari kutoka arusha kwenda mbeya mwaka mpya ni ngumu kuacha gari uende kupanda ingine
 
Kama unaamini MUNGU yupo, basi kifo amekipanga yeye, hata mkiwa mmoja kapanda gari mwingine kalala nyumbani kama ilipangwa mfe.. basi mtakufa hakuna kizuizi.
Unaelimishwa uhalisia wa maisha wewe unaingiza imani hivi mfano familia ina watu sita mnaenda mwanza wawili mnapanda Isamilo, wawili wanapanda Katarama, wawili wanapanda Ally's star, hebu eleza huu umma Mungu anawauwaje wote kwa dakika moja? We endeleza upuuzi wa kusafirisha watoto wote nane kwenye basi moja halafu umtupie Mungu lawama za kipuuzi.
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Marehemu baba angu miezi mi NNE Sasa apumzike kwa amani

Alikua ana hii principal siku zote pia hata shule primary watoto wake wote Kila mtu alipelekwa shule yake
 
Unaelimishwa uhalisia wa maisha wewe unaingiza imani hivi mfano familia ina watu sita mnaenda mwanza wawili mnapanda Isamilo, wawili wanapanda Katarama, wawili wanapanda Ally's star, hebu eleza huu umma Mungu anawauwaje wote kwa dakika moja? We endeleza upuuzi wa kusafirisha watoto wote nane kwenye basi moja halafu umtupie Mungu lawama za kipuuzi.
Naunga MKONO hoja
 
Back
Top Bottom