Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

Usisafiri na familia yako yote kwenye usafiri mmoja, ni hatari sana

kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
Ni ngumu sana kuimudu hiyo. Sasa mmefika huko mnakoenda mnaweza ku-mantain hata kwenye gari mtumie magari tofauti? Kwa wenye imani wanasema yote tumwachie Mungu!
 
kama unasafari ya kifamilia ni muhimu kutumia aina tofauti za usafiri baba panda ndege nyingine,watoto na wife wapandishe ndege tofauti mkutane kwenye destination

msitumie ndege Moja ni hatari incase of accident itakula bloodline yako yote.
MAMBO YOTE NI UBATILI MTUPU
 
Ajali hutokea sana ila kwa mfano una gari na mnaenda sehemu inabidi nifanyeje boss
Kweli najua wengi husema hivyo
Lakini ajali mbaya hutokea sana nchi zisizo na uangalifi na kutokutii shuruti
Kwa huku nilipo kila wakati natoka na familia kama ni safari au pleasure

Familia kuisha wote inatokea popote sio ajali ya gari tu bali hata koboko anaweza kuingia ndani akauwa wote kwa mpigo

Maisha haya daa
Nikajua upo Huku kwetu... Barabara za developed countries zipo VIZURI

Ila Huku kwetu ni noma
 
Back
Top Bottom