📖Mhadhara (62)✍️
Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya kwenda kula sikukuu mikoa mbalimbali. Sikatai kuwa kipindi hiki vyombo vya usafiri vinazidiwa nguvu...
Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka.
Kuna mtu mmoja alipoteza maisha kati ya 10 ambao walikuwa vibarua waliokuwa wamebebwa ndani ya Fuso hilo, wengine wakipata majeraha...
Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako.
Sasa ni Mungu huleta picha/ video kukuonesha ukiwa wewe ni mmoja wa wahusika wa matukio.
Unahitaji kujua nini unapewa...
Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024.
Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi.
Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
Wakuu nilikuwa na ndoto za kumiliki angalau pikipiki kwasasa ili kunipungizia gharama za daladala na boda pia kunipungizia michosho itokanayo na kutembea Kwa miguuu.
Nikaliweka hilo swala kwenye mipango yangu ya muda mfupi (short-term plan) ili kuhakikisha naipata as soon as possible.
Nikaanza...
Tangu Bashungwa amekabidhiwa wizara hii ni wazi na ukweli ulio wazi ameharibu kila kona hasa kule Tanroad!
Cha kushangaza zaidi ni uamuzi wake wa kuruhusu barabara ambazo hazikabidhiwa kuanza kutumika hasa za mwendokasi…..hakuishia hapo na Sasa kwa kushirikiana na chalamila wamevuruga kabisa...
Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi), usafiri (boda boda na magari), na vingine vya aina hii vinatumika kuvutia na kudanganya watoto wa kike...
Hiyo ni kauli ya Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa aliyoitoa siku ya Oktoba 26, 2024 alipokuwa Wilayani Mafia Mkoani Pwani katika ziara ya kikazi ambapo alimpigia simu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi, Aisha Amour kumuagiza aambatane na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na...
BASHUNGWA AMPIGIA SIMU KATIBU MKUU AMTAKA KUPIGA KAMBI MAFIA HADI HUDUMA YA USAFIRI WA KIVUKO ITAKAPOREJEA.
“Msitoke Mafia mpaka Kivuko kianze kutoa huduma kwa Wananchi”
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amempgia simu na kumuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Eng. Aisha Amour na...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia na kusimamia urejeshaji wa huduma ya usafiri wa Vivuko vya MV Kilindoni na Meli ya TNS Songosongo vinavyofanya safari kati ya kituo cha Mafia - Nyamisati...
Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali...
Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea.
Je, ni lorry, busses, or by truck?
Hakuna bus la moja kwa moja from masasi to iringa. Zinaishia Makambako.
Asanteni.
Tokea wiki iliyopita naangalia tiketi ya safari kwenda morogoro siku ya Alhamis sioni safari! Wanaweka safari ya siku moja moja.
Unaweza ukasema usubirie waiweke safari ya siku unayotaka na wasiiweke, siku hiyo kukawa hakuna safari kwahiyo inakua kama umepoteza muda kusubiria.
Huu usafiri si...
Usafiri wa anga nchini Tanzania ni usafiri ghali na wa gharama ya juu hadi kufikirisha ukilinganisha na mataifa mengine yakihusisha na safari kutoka bara moja hadi bara jingine.
Usafiri wa anga chini ya Air Tanzania kwa kiasi kikubwa ukisaidiana na Precision Air unaonekana kama umewalenga...
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi ) Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka ,Dar es Salaam (DART) kutoa fursa kwa watanzania wenye uwezo kuwekeza katika mradi huo ili kupunguza changamoto na kero zinazolalamikiwa hasa...
Jana nilisafiri kutoka Dar es salaam kuelekea Singida. Nikaona nitumie usafiri wa Treni mpaka Dodoma asubuhi kisha niunganishe bus kutoka Dodoma kuelekea Singida.
Nilifanikiwa kufika mapema Dodoma kwa treni. Dhahama ikaanzia nilipofika kituoni kutafuta usafiri wa kwenda kituo cha mabasi cha...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo.
Ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.