Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira/ kazi nzuri.
Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani.
Natamani August 2020 nikome kupanda daladala.
Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa...
Coronavirus Live Updates: Trump’s Travel Restrictions, Italy in Lockdown and N.B.A. Suspension
Italy biashara zote zimefungwa isipokua famasi na maduka ya vyakula.
NBA imesitishwa.
Umefika wakati mamlaka ya usafiri kuangalia upya namna hizi kampuni za usafiri zinavyowahudumia wateja wao. Ukiangalia kampuni kama Uber wanatoa huduma nyingi kwa dereva na abiria kwa kumuwekea bima dereva na abiria iwapo anapata ajali wakati wa safari na bei zao ni za uhakika na zinaendana na...
Luxembourg on Saturday became the first country in the world to offer free public transport, as the small and wealthy EU country tries to help less-well-off workers and reduce road traffic. Some cities elsewhere have already taken similar, partial measures. But the transport ministry said it was...
China imefanya maamuzi magumu ya kusitisha usafiri wa umma hasa katika mkoa wa Wuhan, unaokaliwa na watu karibu milioni tisa, wakati wa mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona.
Watu wanaoishi katika jiji hilo wameambiwa wasiondoke nje ya mji huo, na uwanja wa ndege na vituo vya treni vitafungwa...
Ni Jumamosi tulivu Sana ya mwaka 2020 wabongo wanaita Njaanuari hii,,imani yangu mpo in good spirits ingawa mifukoni kunaweza kusiwe POA.
Wengi wetu hizi forum/mitandao ya kijamii ndio inatupa ahueni ya mawazo,yaaap acha nijielekeze kwenye mada yangu ya leo.
Kuna Mambo mengi yanayofurahisha Sana...
Sea taxi ni usafiri wa boti au meli ndogo zenye kubeba abiria kutoka eneo moja kwenda eneo lingine ndani ya bahari, na ndani ya boti abiria huweza kupata sehemu za burudani kama televisheni, eneo la wazi, mgahawa na sehemu ya mkutano.
Hii imekuwa ikifanyika katika nchi mbalimbali mfano kwa...
Kwa wahusika hasa halmashauri ya jiji na TAMISEMI, wasafiri tunaotumia usafiri huu tunakerwa na tabia ya wafanyakazi wenu kukatisha tiketi na kuchukua pesa hali wakijuwa hakuna either magari au magari yapo ila madereva hakuna. Hali imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.
Leo asubuhi na mapema watu...
Kurejea kwa usafiri wa treni ya abiria kati ya Dar es Salaam na Moshi baada ya kupita miaka 25, kumetingisha usafiri wa mabasi kwenda mikoa ya kaskazini kutokana na idadi ya abiria kudaiwa kupungua.
Kwa kawaida kila mwishoni mwa mwaka huwa kuna mahitaji makubwa ya usafiri wa abiria wa kuelekea...
Ijumaa Desemba 6, 2019 treni ya abiria itakayokuwa ikitoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro ilirejea baada ya kupita miaka 25. Treni hiyo yenye mabehewa manane iliondoka Dar es Salaam Ijumaa saa 10 jioni ikiwa na abiria 263 na 24 walipandia njiani.
Ilifika...
Ufaransa imeathiriwa na mgomo mkubwa ambao unafanyika leo wa wafanyakazi katika sekta ya usafiri wa umma. Treni nyingi hazifanyi kazi, shule zimefungwa na wasimamizi wa mnara wa Eiffel wametoa onyo kwa wageni kutozuru eneo hilo; kufuatia maandamano na mgomo dhidi ya mpango wa serikali kuufanyia...
Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20.
Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
Kutokana na kero ya usafiri katika jiji la Dar-es-Salaam kwa wanaotumia usafiri wa umma(daladala na yale mabasi ya mwendokasi),nashauri serikali ije na mkakati wa muda mfupi wa kuruhusu gari ndogo aina ya Noah zitumike kusafirisha abiri nyakati za asubuhi na jioni ili kuondoa adha ya watu kutaka...
Shirika la Reli Tanzania, TRC linawatangazia watu wote kuwa safari za treni la biria kutoka Dar kuelekea Moshi zitarejea rasmi mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka 2019
Nauli Dar - Moshi inategemewa kuwa ifuatavyo:
- Daraja la tatu Tsh. 16,500
- Daraja la pili kukaa Tsh. 23,500
- Daraja la pili...
Naomba kufahamu taarifa hii. Kuna kipindi ilisemekana mabasi yameruhusiwa kusafiri usiku.
Je Dodoma - Dar upo? Ni saa ngapi na magari gani yanaroute hiyo?
Nawasilisha.
Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI.
Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber.
Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
Habari wanaJF,
Nipo na plan ya kusafiri Dar -Jo'burg kwa bus. Naomba msaada kufahamu yafuatayo:
Safari inachukua siku ngapi?
Route ipi ni the best kati ya kupitia Lusaka au lilongwe?
Nauli ni bei gani, kampuni ipi ya mabasi ipo vizuri?
Na kingine chochote cha kuzingatia kwenye safari.
Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam
SIFA ZAO
★Wanajua ufundi wa magari
★Wamepitia mafunzo ya udereva
★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu
★wastaarabu
★Wasafi
Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
Habari wana jukwaa,
Kumekuwa na ongezeko kubwa la wafanyabishara kutoka Tanzania kwenda China kufanya biashara mbalimbali kama nguo, vipuri vya magari na pikipiki, vifaa vya electronics nk. Najua kuna thread nyingi zimewahi kuzungumzia biashara za China, lakini nimuombe mkuu Invisible...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.