Hakuna kitu kinatisha kama ndege inapoanza kupaa aisee.
Yaani unaona tu majengo yalee kama viberiti.
Nakumbuka kuna safari niliwahi kukacha kurudi na ndege nikapanda basi.
Ile kitu acha tu.
Serikali yetu hebu tusaidie wanyonge na hii tabia inazidi shamiri sna kwa wale ndg zetu wanao safiri mikoa ya mbali #Dar_to_mwnza, #Dar_to_mbya, #Dar_to_kgma, #Dar_to_Arusha kuna tabia na utaratibu wa mabasi walio jiwekea bila kuhofia abiria wao na sio rafiki kabisa wanapaki mabasi yao sehemu ya...
Nimejaribu kufuatilia kwa karibu maboresho yanayofanywa na LATRA kwenye sekta ya usafiri wa abiria lakini sijaona Jipya.
Nikikumbuka kampuni yangu pendwa ya mabasi ya Scandinavia naona viwango walivyovifikia wakati wanafunga kampuni bado havijafikiwa na hawa Latra.
Mambo ya online booking na...
Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021.i 20.1 ambazo zimetumika katika kujenga meli tatu ambazo kati yake mbili ni za mizigo MV Ruvuma na MV Njombe kwa thamani ya shilingi bilioni 11 na meli ya abiria na mizigo ya MV Mbeya ii kwa shilingi...
Wakuu, krismass ya mwaka huu UCHAGANI imefana mno mabasi yote tiketi zimeisha Hadi January 5,treni nazo zimefurika ndege ndio kabisaaa,mabasi mengine yaliyopewa vibali vya kupeleka watu kaskazini nayo yamejaa,hongereni Sana watu wa Kilimanjaro/kaskazini kwa kupenda kwenu nyumban Ni utamaduni mzuri
Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania kitatoa mafunzo ya urushaji wa ndege zisizo na rubani (Drones) kwa muda wa wiki nne kuanzia Januari 4, 2021. Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 21, awe amemaliza kidato cha nne au zaidi, ajue kusoma na kuandika Kiingereza. Ada ni TZS 1,980,000.
Heshima Kwenu Nyote Wakuu,
Nilikuwa nataka namimi niende nikapaone Pemba tarehe tajwa hapo juu. Sasa naombeni muongozo kwenye mambo yafuatayo;
1. Je, naweza kutoka Unguja siku ya J3 tarehe 28/12/2020 (Jioni) na Kurudi (from Pemba to Unguja) siku ya J4 tarehe 29/12/2020 (Jioni)?
2. Je...
Kwakweli haipendezi kabisa Mwanaume kukamatia boda boda.
Mwanamke haina tatizo kabisa.
Kwanza vile mnavyokaa tu, inatia mashaka,
Bora bajaji au Tax kabisa.
Niliajiriwa kwa mkataba wa mwaka mmoja na kampuni moja ya fedha . Hata hivyo nililipwa pesa ya mafunzo na nauli pekee nikitarajia kulipwa malipo ya kusafirisha mizigo na kujikimu lakini hawakufanya hivyo japo mkataba ulionesha naajiriwa kutoka Moshi kwenda Lindi, ingwa wakati wa kumaliza...
Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza.
Sisi wananchi wa Uvinza na viunga vyake tunaomba Serikali yetu tukufu iingilie kati suala la mgomo wa vyombo vya usafiri Kigoma-Uvinza toka juzi usafiri haupatikani tunashindwa kufanya shughuli za kimaendeleo ambazo zinatufanya kutoka kituo kimoja kwenda...
Gari ni mpya Plate no. imetoka jana.
SPECIFICATIONS:
Make: Toyota
Model: RunX
Body Style: Hatchback
Color: Sky Blue
Odometer: 58,000km
Transmission: Auto
Bei ni 12.5m subjected to Negotiations.
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu.
Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits.
Nashukuru.
Ndugu na jamaa wanaotarajiwa kufanya safari ya kuja Zanzibar au kwenda Bara mnapaswa kufanya safari zenu mapema kabla ya wiki ijayo ya tarehe 28.
Mkumbuke siku hiyo hakutakuwa na chombo kitakachobeba raia kutoka sehemu tajwa hapo juu.
Wadau nimeshangazwa sana na tofauti kubwa ya gharama za kutumia usafiri unaotolewa na Kampuni mbalimbali kwa utaratibu wa Kisasa
Kwa mfano kutoka Upanga hadi Tegeta Kwa Ndevu kwa kutumia usafiri wa aina moja lakini kampuni tofauti , Tofauti ya gharama ni Tsh 6,000!
Wazoefu wa masuala ya...
Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake.
Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara...
Habari ndugu zangu, marafiki na watanzania kwa ujumla. Natumai muwazima wa afya tele.
Leo nitakwenda kuelezea umuhimu wa ndege katika taifa letu ambalo sasa linatambulika kimataifa na kupewa heshima kubwa sana baada ya kupata Rais mwenye maono na mpenda maendeleo.
Kabla sijaanza kuchimba kwa...
CHAMA cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA), kimesema kuna umuhimu kwa serikali kupitia upya na kushirikisha wadau kikamilifu kuhusu kanuni za sheria ya usafiri, ili kuondoa tozo zitakazoongeza gharama za uendeshaji kwa usafirishaji wa abiria.
Kwa mfumo mpya, kwa sasa tiketi za usafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.