usafiri

  1. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu atumia usafiri wa bodaboda kuchukua fomu ofisi ya Mkurugenzi

    Ametumia usafiri huo wa umma ili kwenda sawa na wapiga kura. Huyu hapa
  2. Tajiri Tanzanite

    Uchaguzi 2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

    Hapo vipi! Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi. WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha. Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
  3. Erythrocyte

    CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
  4. K

    Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

    DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
  5. MK254

    Usafiri wa reli kilomita 240 Nairobi-Nanyuki waanza kutumika

    Ni mwendo wa kupasua miamba, pasua anga. ======== The rehabilitated 240-kilometre Nairobi-Nanyuki metered gauge railway has commenced operations ahead of commissioning by President Uhuru Kenyatta. Vivo Energy; the operator of Shell branded petrol stations, is expected to become the anchor...
  6. Louis II

    Uchaguzi 2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake. Hivyo, kama heading...
  7. S

    Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  8. Guus

    Zaidi ya wanafunzi 200 waliokuwa China waanza safari ya kurejea nchini kwa usafiri wa ATCL

    Kutokana na kupanda kwa nauli za ndege kulikotokana na janga la Corona, ubalozi wa Tanzania nchini China kwa kushirikiana na Shirikisho la Watanzania waishio nchini humo (TASAFIC) wamefanikiwa kuandaa usafiri kwa wanafunzi na Watanzania wengine waliokuwa China kupitia Shirika la Ndege la...
  9. M

    Usafiri wa Dodoma kwenda Kigoma

    Napenda kufahamu mabasi mazuri ya kutoka Dodoma asubuhi kwenda Kigoma. Nawasilisha.
  10. S

    Nipo Buza, nipande Magari yapi nifike Mwenge?

    Habari zenu wana jamvi, Kwa wenyeji wa Dar naomba Mnisaidie nipande daladala zipi kutoka Buza mpaka mwenge. Mimi ni mgeni kabisa wa jiji.
  11. mahadhialy

    Biashara ya usafiri inakuwaje

    Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi. 1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze taratibu hizi; (a)Gharama za uanzishaji.
  12. TODAYS

    EWURA, SUMATRA na wamiliki wa vyombo vya Usafiri hii inawahusu

    Amani kwako. Maisha ni gurudumu ambalo lazima likanyage mzunguko wote ili kufikia hatua inayotakiwa. Mfanyabiashara yeyote hana undugu na mteja hii inatokana na mfumo wa biashara kama kuepuka hasara na mambo mengine. MADA: Bei ya mafuta imeshuka maradufu na ndani ya wiki tatu imeshuka tena...
  13. DOCTOR UZI

    Nitumie usafiri gani kusafirisha mizigo yangu kutoka Dar - Dodoma?

    Wakuu za muda huu, Moja kwa moja kwenye mada au swali , mm ni mwanachuo nasoma Dom ila naishi dar kuna baadhi ya vitu nataka nivipeleke kwenye geto langu la dom (kitanda 5*6,tv ,fridge) Sasa wakuu nilikuwa nataka kujua kama kuna usafirishaji mwengine ukitoa wa bus maana hawataki kusafirisha...
  14. mkiluvya

    Tamisemi yaitaka Udart kurejesha huduma ya usafiri kabla ya Juni 01

    Waziri wa Nchi , ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo amemuagiza wakala wa mabasi yaendayo haraka UDART kuhakikisha usafiri wa mabasi hayo unarejea kama kawaida kabla ya Juni Mosi, mwaka huu na kuondoa kero ya sasa inayowakumba abiria wanaotumia usafiri...
  15. JF Member

    Usafiri wa Mwanza to Dar Jioni hii

    Msaada Kama Kuna mtu yuko Mwanza anakuja Dar jioni hii kwa gari nijulishe . Kuna ndugu zangu wanatakiwa Dar kesho asubuhi.
  16. MAJIYAPWANI

    Msaada juu ya hiki chombo cha usafiri

    Habari Wana Jf Leo katika pitapita zangu nimekutana na chombo cha usafiri aina ya piki piki hii wauaji wanasema ni made in korea Nataka kujua upatikanaji wa Spare, ulaji mafuta ukoje na Je vinadumu? Havisumbui?
  17. Pdidy

    Usafiri wa mabasi yaendayo Uganda

    Tar 27 Apr tunarajia BAADHI ya boda zitakuwa HURU kwa matumizi Wale wanaojua USAFIRI mzuri WA mabasi na lodge/guest house za BEI rahisi msaada pls Tupeni majina ya mabasi na BEI za TKT pls to kampala #Usisahau kadi ya chanjo pls..
  18. J

    Mabasi ya wanafunzi yapewa kibali cha kuwa Daladala kwa muda wa miezi mitatu kukabili uhaba wa usafiri uliosababishwa na " level seat"

    Serikali imetoa ruksa kwa mabasi yenye rangi ya njano yanayobeba wanafunzi kutumika kama daladala wakati huu ambapo shule zimefungwa. Mkurugenzi mkuu wa Latra amesema wamiliki wa school bus watapewa vibali vya kuweza kubeba abiria kwa kipindi cha miezi mitatu ili kufidia upungufu wa mabasi...
  19. kavulata

    Usafiri wa level seat lazima uratibiwe

    Usafiri wa level siti ni mzuri sana katika kupambana na magonjwa Kama COVID-19, TB, surua, mafua, upele, fungus yanayoenea kwa njia ya hewa na kugusana, lakini yafuatayo lazima yafanyike kwenye Usafiri huu ili usilete usumbufu: 1. Nauli ya kituo hadi kituo iwe 1000. Sh. 400, 500 au 600...
  20. M

    SUMATRA kuweni wabunifu kwenye ishu ya usafiri mijini kipindi hiki

    Nyakati ngumu huhitajika kuumiza kichwa mara nyingi zaidi kuliko kipindi cha raha mustarehe. Sasa hivi SUMATRA inataka vyombo vya usafiri viwe level seats lakini haitoi majibu ya mipango ya aina gani wanaweza kutumia usafiri wa mabasi hayahaya ya daladala yaliyopo nchini kuweza kuhudumia watu...
Back
Top Bottom