Wakuu,
Kumekuwa na tetesi na minong'ono miingi siku za karibuni kuhusu utumiaji wa usafiri wa umma (daladala), abiria wapande level seat lakini nimesikia huko Dodoma agizo limeshatoka tayari.
Turudi nyuma kidogo,ambapo mwaka jana tukiwa katika hali kama hiyo, ikumbukwe shule zilikua...
Heshima yenu wapendwa,
Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage!
Safari yenyewe...
Serikali ya Uganda imeingia mkataba na Kampuni ya Teknolojia ya Global Systems LLC ili kuweka vifaa vya kielektroniki (tracking devices) kwenye vyombo vyote vya usafiri nchini humo.
Waziri wa Usalama wa nchi hiyo, Meja Jenerali Mstaafu Jim Muhwezi amethibitisha jana kuwa wamesaini mkataba wa...
Ni wazi kwa sasa Tanzania imeungana na nchi nyingine katika kufata taratibu zinazoitwa za kuzuia maambukizi ya mlipuko wa corona wimbi la tatu katika jamii.
Imekua ni week iliyoanza kwa tahadhari na inaendea kuisha ya matamko ya wimbi la tatu ya Janga hili la Covid-19 kuanzia kwa madaktari na...
Eneo lilikosahaulika hapa nchini ni usafirishaji. Hali ni duni kwa Watanzania wengi tumeendelea kuamini kumiliki daladala ili kupata kipato jambo ambalo sio bali kuwatesa wanyonge.
Eneo la usafirishaji wa umma (daladala, bodaboda, bajaji, taxi, meli na vivuko) kuna tatizo kubwa.
Kwa mfano...
Habari wanaJF,
Hoja hii ni mahsusi kwa watumiaji wa usafiri wa Daladala wanaotumia Mabasi ya Mbezi - Kawe na Mbezi Makumbusho pia wale wa Makumbusho - Mbezi na Kawe - Mbezi.
Angalieni huu mzunguko;
Unatoka Mbezi/Kimara unasimama Taa za Ubungo, ukivuka unasimama tena taa za TCRA kisha unakunja...
Ngorongojo ni usafiri uliokuwa ukitumika enzi za nyuma na hadi hivi sasa hapa mkoani Kigoma. Ngorongojo huundwa kwa miti migumu, hivyo mchakato wake wa utengenezaji unaanzia maporini ambapo ni lazima kwenda kutafuta miti migumu kwenye mapori.
Ngorongojo ina mpini "kishikio" ambapo hutegemea...
Habarini wadau wote wa humu.
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia.
Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam
Tunakuletea updates hapa
Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa
Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
Rahisisha shughuli zako kwa gari hii
Na KIMOMWE MOTORS (T) LTD- Waagizaji Magari
Pichani ni Toyota Passo ya 2004 ikiwa nchini Japan yenye sifa zifuatazo
Mwaka: 2004
Cc: 1300 (hii ni bora kuliko ile ya Cc 1000
Gia: Automatic
Mafuta: Petrol
Km: 47,000
Matumizi: Km 18 kwa lita
Gharama zote...
HABARI YA MAJUKUMU?
KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU.
VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
bei nafuu
benz
biashara
bmw
gari
harrier
inauzwa
injini
japan
karibu
kuagiza
kuagiza gari
land rover
magari
majibu
manual
mayai
mbeya
mitsubishi
nissan
picha
siku
soko
subaru
toyota
usafiri
ushuru
viti
vitz
volvo
waagizaji
wazi
xtrail
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya.
Asante.
Tunapoambiwa ATCL imepata hasara tusibeze sana. Kuna American Express na Delta Lines wanachungulia kaburi! Na Amar hapo UK British Airways imegubikwa madeni nusura izame! Tatizo lenu ni uzungu pori? Ni mashirika ya wenye mafuta kina EMIRATES, QATAR na wenzao Serikali zao zimenunua madeni...
Na
Victor Wilbard.
Kwa mujibu wa ripoti ya Benki ya Dunia inayohusiana na taarifa a kila mwaka za usafiri wa anga " World Bank Report; Air transport annual report" mwaka 2016 ilionesha kuwa usafiri wa anga unaohusisha hedge za abiria ukiendelea kufanya vizuri katika mataifa yaliyoendelea kwa...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75%
Viti hivi vina nyenzo muhimu kwa ajili ya kulinda Usalama wa Mtoto anapokuwa kwenye gari kwasababu viti kawaida vya magari...
Habari zenu ndugu zangu poleni na misukosuko ya hapa na pale.
Naomba nijue kuhusu usafiri wa treni kwa Dar es salaam utaratibu unakuwaje mfano Dar kwenda Mwanza inakuwa bei gani na inachukua siku ngapi au masaa mangapi na je usafiri w treni ni salama na tiketi yake unakatia wapi manake sijawahi...
Kuna mambo mengi yanaweza kukutokea ukiwa safarini
1. Kutapika kwenye gari
2. kubanwa na tumbo la kuharisha
3. Kuachwa na gari wakati wa kuanza safari au wakati mmeshuka kupata chakula.
4. Mengineyo
Mwaka flani nilikuwa natoka Morogoro kwenda Dar. kabla ya safari nakumbuka nlikula zile chapati...
Kila msaka fursa angalia hii clip uone mwenyewe fursa zilipo za biashara ya usafiri wa majini na mafuta Congo. Hizo baadhi tu lakini ukitizama hii Clip waweza gundua nyingi zaidi.
Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari.
Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi .
Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari .
Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma...
Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana.
Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.