Kijana mwenzangu kama una miaka 35 kwenda juu jitahidi umiliki chombo chochote cha usafiri.

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
1,458
Reaction score
4,409
Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.

Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
 
Usisahau pia kuwashauri kufikiri kama hicho chombo kitakua

1. Asset?(something that puts money in your pockets)
Au
2. Liability?(something that take away money from your pocket)
Au
Wamiliki tu just for impression?? Au kuna some kind of cashflow will be created au atleast haita athiri their current cashflow
 
Hii nzuri mkuu asante kwa kuongeza hints.
 
Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.

Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
Ningekuelewa ungeshauri vijana wa umri huo wawekeze kwenye ardhi na sio kukimbilia kwenye magari..
 
Vijana hakikisha Una Mali (assets), hata ukiwa unatembea Kwa miguu lakini hakikisha Una cha kushika Kwanza yaani Mali (assets), iwe ni kiwanja, shamba, nyumba, cash nyingi nk. Kila siku lazima uwaze kuongeza Mali...Kwanza uwe na cha kushika sio kutumia.
 
Sahihi sana mzeee
 
Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.

Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
Ila pia. Kuchukua tahadhari sababu chombo chochote cha moto kinaweza kugeuka kuwa adui na kukatisha malengo fasta...
 
Umthamini mtu kisa ana chombo cha usafiri???!!! Hii ni poverty mentality.

Msikimbilie kuwa na vyombo vya usafiri huku mafuta yakipanda shilingi 20 tu mnalalamika mwezi mzima.

Msijipe presha zisizo na msingi
 
Inategemea na mishe unazofanya mkuu
 
Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu.

Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom