A
Anonymous
Guest
Nilimaliza Chuo cha Utumishi wa Umma Tanga Campus Mwaka 2018 nimekuwa nikifatilia chuo waingize matokeo yangu huu mwaka wa pili sasa nimeshindwa kuendelea na kusoma degree lakini Chuo wanasema NACTVET dirisha la nyuma hawajafungua na siku zinakwenda, naomba msaada.
Wanasema NACTVET hawajafungua mfumo wa miaka ya nyuma ili waweze kuingiza matokeo, huu mwaka wa pili nahangaika bila mafanikio.
NACTVET nilishahi kuwasiliana nao, chuo nilianza kuwasiliana nao Septemba 2024 wakaniambiwa wanafuatilia ili NACTVET wafungue mfumo wapandishe matokeo mpaka leo nimekuwa nikifatilia hakuna chochote kile nimefanikiwa.
Nimewasiliana na Mkurugenzi wa Tanga lakini bado sijafanikiwa pia, sasa sijui tatizo lipo Chuo au NACTVET.