A
Anonymous
Guest
Nilituma mzigo wa dagaa kutoka Mwanza kwenda Tanga kupitia kampuni ya basi la RUKSA. Mzigo huo ulipakiwa kwenye basi, lakini baada ya siku tatu ndipo ulipofika Tanga ukiwa umeharibika na kuoza.
Hii ni changamoto kubwa kutokana na ucheleweshaji usio na sababu za msingi, kwani dagaa ni bidhaa inayohitaji kufikishwa kwa haraka ili kuepusha uharibifu. Tunaiomba kampuni husika ichukue hatua na kuboresha huduma zake ili matukio kama haya yasijirudie.