nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
Inasemekana Jamii ya Wamasai wanaopatikana ndani ya vijiji vya Mombo mkoani Tanga hawataki jamii ya wasukuma katika vijiji hivyo...
Inasemekana wametoa hongo ili viongozi wa serikali waunge mkono nia hiyo dhidi ya wasukuma wanaopatikana katika vijiji hivyo...
Inasemekana jamii ya Wamasai haiwataki wasukuma katika vijiji hivyo kwasababu wasukuma sio rahisi kuwalishia mazao yao na wakakaa kimya...
Hivyo wasukuma wamekuwa tishio kwa Wamasai wanaoishi kwa kulisha mifugo yao kwenye mazao ya wenyeji wa maeneo hayo...
Swali langu, sheria zetu zinasemaje kuhusu jambo hili?
Viongozi wa serikali mkoa wa Tanga mna taarifa hii?
Swali kwa Jamii ya masai, mamlaka ya kutimua jamii zingine kwenye mikoa isiyo ya asili yenu munatoa wapi?
My take: Viongozi wa mkoa wa Tanga hakikisheni haki za raia hao wa Tanzania zinalindwa kwa namna yeyote...
Na hata ikitokea wamerudi makwao, basi hakikisheni wanapata haki zao maana wengine walikua wamenunua mashamba na viwanja katika maeneo hayo.