Wamasai wanatimua jamii ya wasukuma katika baadhi ya vijiji Mombo mkoani Tanga

Wamasai wanatimua jamii ya wasukuma katika baadhi ya vijiji Mombo mkoani Tanga

Hakuna watu wanao jua kutoa rushwa kama maasai, Hao pipo nguvu Yao ipo kwenye pesa ndiomana ni mara chache Sana kumkuta maasai kufungwa kwa makosa madogo madogo, kwanza hawataki kuingia kwenye kadhia yoyote kwakuwa mahakamani hawatoki,
Usiwasahau
👉Wahindi
👉Waarabu
 
Masai wengi wapuuzi,wezi wa mifugo roho mbaya.

Ila kwa kasi na nguvu ya wafugaji wa kisukuma hawataweza,hii nchi ni yawatanzania wote.
 
Wewe ni mtanzania?

Sijauliza kwa ubaya, huenda hufahamu...

Kuna makabila unaweza kuwatambua kwa kuwatazama tu na wengine kuwasikiliza wakizungumza.
Kuwatazama kwan mnandonya usoni mi kijana wangu kaziliwa huko magu kisukuma ndo lugha yake yakwanza lakini sio msukuma japo yupo full kisukuma
 
Sheria ipo pale serikali,kiongoz wa nchi inapotaka jambo toka kwa wananchi na si wananchi kwa wananchi au na serikali
 
Ndugu, mimi pia niko kwenye mshangao kama wako...

Na huwezi amini, viongozi wa serikali maeneo hayo wamebariki hili jambo...

Msukuma amepewa siku sita asionekane kule...

Hiyo ni kuanzia jana, kwahiyo baada ya siku sita huwenda tukasikia wasukuma wanauawa huko.

Viongozi gani hao waliochukua rushwa?
Hiyo amri ya siku saba imetolewa na nani?

wasukuma waende mahakamani kupinga hiyo amri ipo kinyume na katiba mbovu iliyopo
 
Nkikumbuka ya mapigano ya wakulima vs wafugaji kilosa,watu walivyochinjana mpk ilibidi wamasai wakimbie
Miaka hiyo ingekuwepo smartphone watu wangeona balaaa
Siku zote mfugaji hawezi kukaa na makazi ya watu especially wakulima,unakuta mfugaji
Ana ngombe 500 na zaidi
Kuwalisha mtihani mwishowe ana amua awaingize kwenye mashamba ya watu hapo ndiyo tif tif linapoanzia
Wamasai/wafugaji wengi hata wawe wasukuma wanafuga kiholela sana mwishowe wanajingiza kwenye migogoro

Ova
 
Back
Top Bottom