The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.
WANGAPI WALISHAWAHI KWENDA KUFATA NG'OMBE ZA MAHALI ALIKOOLEWA BINTI.?
Huku usukumani huwa iko hivi, kuna aina mbili za ndoa. Ndoa ya kwanza huwa tunaiita GULEYA au GWITANILWA, yaani kijana wa kiume unaenda kuchumbia kwao na binti ukikubaliwa wanapanga mahari na mahari huwa ni ng’ombe kuanzia...
Inasemekana Jamii ya Wamasai wanaopatikana ndani ya vijiji vya Mombo mkoani Tanga hawataki jamii ya wasukuma katika vijiji hivyo...
Inasemekana wametoa hongo ili viongozi wa serikali waunge mkono nia hiyo dhidi ya wasukuma wanaopatikana katika vijiji hivyo...
Inasemekana jamii ya Wamasai...
Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi.
Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa kwenda sekondari lakini mzazi wake anapatiwa kaujira kadogo huku mishahara ikielekezwa kwa madalali...
Sisi watanzania wote ni watani tu ,kwa desturi zetu hatuna shida tukitaniana.
Hii bato ya wachaga na wasukuma naona kama imelazimishwa mno , hakuna bato hasa ya kiuchumi kati ya hayo makabila mawili.
Bato iliyopo ni kati ya watanzania na wachaga kwa sasa hayo mengine mnafanya unafki tu...
Tanzania ni nchi kubwa , na yenye Jamii nyingi za asili mbalimbali, Lakini kiuhalisia kutokana na mambo ya historia na maeneo zilizopo jamii hizo imesababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezo mkubwa kifedha kuliko jamii Nyingine.
Kwa miaka Mingi tokea uhuru jamii za Wahindi na waarabu zimeendelea...
Kahama, Geita, Katoro, Mwadui na sehemu nyinginezo kuna utajiri mkubwa sana wa madini, kwa miaka mingi sana wanufaika walikuwa wageni hasa nchi za nje lakini kwa sasa wasukuma wameanza kuamka na kujitosa kwenye fursa hizi.
Na sio huko tu kwao, sikuhizi hata uende migodi kama ya Chunya, Mbeya...
Wanawake ukiwawezesha kuna mda ndio tunaona wana tuziaki mitandaoni sababu tume wavusha.
Wasukuma waliwezaje mpaka wakaweza kuishi na wanawake wengi.
Kiufupi wazee wazamani
Yaani mimi nimekuja kusalimia ukweni baada ya nyie shemeji zangu kunichinjia Mbuzi au Ng'ombe ndiyo kwanza mnanikaribisha na ugali wa dona na Nsasa hii ni kweli jamani mbona yule shemeji yenu mwingine akija hapo kwenu mnamchnjia Mbuzi wawili na inakuwa na sherehe kabisa au kwasababu ni msukuma...
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
Juzi tulikua tunasafiri na bus la Allys star lile VIP lenye choo ndani kutoka Dar kuja Mwanza.
Safari ilianzia pale stand ya Magufuli,dakika chache baada ya safari kuanza yule mhudumu wa kike akatutangazia safari yetu itakua na vituo kadhaa vya kuchimba dawa ila akasema kama mtu atapatwa na...
Mimi nimezunguka sana kanda ya ziwa na Pwani, ila kanda ya ziwa watu wana roho nzuri sana hasa Wasukuma.... Msukuma unaweza kumkuta ni maskini wa mali ila tajiri wa roho. Msukuma uwa akunji roho kwa mgeni, hata kama hakujui ukienda kwake utapewa hadhi ya nyota 5.
Mimi niliwai kuingia huko...
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo...
Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA/WAGANDA au WARUNDI/WANYARWANDA, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
◇Mwanaume wa kisukuma ni ngumu kutangulizana na mkewe either mmoja aanze kutoka mwingine aje kwa nyuma ala kuondoka kwa pamoja hio sahau
◇ Ukienda usukumani chakula kizuri kama nyama ya kuku, mapaja na viongo vingine vitamu hupelekwa kwa wanaume
◇ wanaume kula na wanawake ni marufuku. Wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.