Wasukuma na waha mna shida gani? Yaani nyie mkizamia Tanga ndiyo hamtaki kurudi kwenu?

mkunga wa jadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2025
Posts
208
Reaction score
458
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au 15 hawajawahi kurudi kwao na wala hana mpango wa kurudi kwao wanasahau kabisa kwamba kuna kwao najiuliza hizi ni akili zao au namna gani aisee

Wakishaoa ndiyo wanapotea mazima hawatamani kurudi makwao sasa sijajua ni wanapigwa limbwata na wanawake wa Tanga au namna ipi maana wanawake wa Tanga kwa madawa ndiyo zao yaani ukiingia kwenye 18 zao hauchomoki hata kidogo utasahau kwenu na atakutumikisha wewe mpaka ujute na mara nyingi wanawapendea wanaume wa kisukuma na waha kwasababu ya kufanya kazi ngumu na wao walivyolimbukeni wa wanawake wanaingia mazima na wanabaki kupigwa kitu kizito kichwani
 
Niliwahi kwenda tanga, nikakutana na jishangazi la haja mkuu..... si jimama linakiambia eti majini yake yametamani kunisafisha "sanduku la wapigakura" kwa tui la nazi shekh....😜
Ila jini la mtoto wa kitanga likikupenda, mahaba utayafurahia...🤣
Mtuache wasukuma...😑
 
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au 15 hawajawahi kurudi kwao na wala hana mpango wa kurudi kwao wanasahau kabisa kwamba kuna kwao najiuliza hizi ni akili zao au namna gani aisee

Wakishaoa ndiyo wanapotea mazima hawatamani kurudi makwao sasa sijajua ni wanapigwa limbwata na wanawake wa Tanga au namna ipi maana wanawake wa Tanga kwa madawa ndiyo zao yaani ukiingia kwenye 18 zao hauchomoki hata kidogo utasahau kwenu na atakutumikisha wewe mpaka ujute na mara nyingi wanawapendea wanaume wa kisukuma na waha kwasababu ya kufanya kazi ngumu na wao walivyolimbukeni wa wanawake wanaingia mazima na wanabaki kupigwa kitu kizito kichwani
Acheni kuwaloga na kuwapa limbwata uone kama hawatarudi kwao
 
Waha wamejenga sana huku Kange ,ni watu poa sana ...Hawana shida na mtu .

Nilivyokuwa mdogo nilifikiria pale Mngandini ni wasambaa tupu ila kumbe kwenye ndizi kuna waha wengi sana ...Wanauza ndizi nzuri ,tunawashukuru kwa kuendeleza biashara hii .
 
Msukuma kulowea ni kawaida yake tangu enzi na enzi.

Wasukuma ni jamii inayopenda kulima, hivyo popote wakikuta ardhi ina rutuba wanaweka kambi.

Na hii inatokana na idadi yao kuwa wengi, Wasukuma ni kama wachina, mchina, dunia nzima yupo, kama Msukuma alivyo Tanzania na nchi jirani

Msukuma alichelewa tu kupata exposure,kama angebahatika mapema hata ulaya ungekuta Wasukuma wa kumwaga wanalima kwa jambo la mkono

Zanzibar kuna Wasukuma wengi tangu enzi hizo wamelowea.

Mimi niliwahi kusoma lindi, pale shule kuna wasukuma, walishamaliza shule enzi na enzi lakini hawaondoki pale bwenini , wanaishi mabwenini na wanalima michicha, wanawauzia wananchi, maisha yanasonga
 
Wanapata mahaba ambayo n matamu..kwa Muha kwakuwa anatokea kwenye mkoa usiokuwa na pisi kali Tanga pisi kali zimefulika unadhani ataludi kwao kirahis...Msukuma hapo ni mapenzi yamsahaulisha ila pis kali kwao zipo.
 
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au 15 hawajawahi kurudi kwao na wala hana mpango wa kurudi kwao wanasahau kabisa kwamba kuna kwao najiuliza hizi ni akili zao au namna gani aisee

Wakishaoa ndiyo wanapotea mazima hawatamani kurudi makwao sasa sijajua ni wanapigwa limbwata na wanawake wa Tanga au namna ipi maana wanawake wa Tanga kwa madawa ndiyo zao yaani ukiingia kwenye 18 zao hauchomoki hata kidogo utasahau kwenu na atakutumikisha wewe mpaka ujute na mara nyingi wanawapendea wanaume wa kisukuma na waha kwasababu ya kufanya kazi ngumu na wao walivyolimbukeni wa wanawake wanaingia mazima na wanabaki kupigwa kitu kizito kichwani
Tanganyika popote ni kwao, zungumzia Wapemba ambao mji wa Tanga wameshaufanya kuwa wao na ndiyo hawatatoka milele labda muungano uvunjike muwafurushe kwa bakora.
 
Msukuma kulowea ni kawaida yake tangu enzi na enzi.

Wasukuma ni jamii inayopenda kulima, hivyo popote wakikuta ardhi ina rutuba wanaweka kambi.

Na hii inatokana na idadi yao kuwa wengi, Wasukuma ni kama wachina, mchina, dunia nzima yupo, kama Msukuma alivyo Tanzania na nchi jirani

Msukuma alichelewa tu kupata exposure,kama angebahatika mapema hata ulaya ungekuta Wasukuma wa kumwaga wanalima kwa jambo la mkono

Zanzibar kuna Wasukuma wengi tangu enzi hizo wamelowea.

Mimi niliwahi kusoma lindi, pale shule kuna wasukuma, walishamaliza shule enzi na enzi lakini hawaondoki pale bwenini , wanaishi mabwenini na wanalima michicha, wanawauzia wananchi, maisha yanasonga
Kweli pemba kazi zote za ujenzi wasukuma ndio wanafanya na niwengi wanaitana kama sehemu Ina fursa swala la kutoka kwenda mahali awajiulizi mara 2 wana chomoka tu,
 
Mm sijayaona ayo mapenzi ya kumkamata mtu labda uwe limbukeni au yalikua zamani sio Sasa, mji wa tanga unavijana wengi ambao hawana kazi ndio maana kazi za viwandani azina thamani malipo kiduchu
 
Back
Top Bottom