Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au 15 hawajawahi kurudi kwao na wala hana mpango wa kurudi kwao wanasahau kabisa kwamba kuna kwao najiuliza hizi ni akili zao au namna gani aisee
Wakishaoa ndiyo wanapotea mazima hawatamani kurudi makwao sasa sijajua ni wanapigwa limbwata na wanawake wa Tanga au namna ipi maana wanawake wa Tanga kwa madawa ndiyo zao yaani ukiingia kwenye 18 zao hauchomoki hata kidogo utasahau kwenu na atakutumikisha wewe mpaka ujute na mara nyingi wanawapendea wanaume wa kisukuma na waha kwasababu ya kufanya kazi ngumu na wao walivyolimbukeni wa wanawake wanaingia mazima na wanabaki kupigwa kitu kizito kichwani