Wasukumuma tumewezaje kuwaweka ninyi wanawake chini ya mamlaka zetu?Am here babe😁
Ni utamaduni wetu tu baba, haijalishi we ni msomi au la, utakuwa chini ya mume!Wasukumuma tumewezaje kuwaweka ninyi wanawake chini ya mamlaka zetu?
Ndo maana unapendwa sana, kumbe unajielewa sanaNi utamaduni wetu tu baba, haijalishi we ni msomi au la, utakuwa chini ya mume!
Kwa hiyo unaniahidi kuwa utakuwa chini yangu hadi kifo?Ni utamaduni wetu tu baba, haijalishi we ni msomi au la, utakuwa chini ya mume!
Kwakweli ila nje ya hapa nitakushangaza😎Ndo maana unapendwa sana, kumbe unajielewa sana
Hahahhaa ndio nakuahidi😆Kwa hiyo unaniahidi kuwa utakuwa chini yangu hadi kifo?
Maana najua nikifa kabla yako nitakuwa chini yako. Dah! Natakuwa mfupi kuliko hata sisimizi 🥲.
Nimelia kilio cha furaha kusikia hivyo 🥲.Hahahhaa ndio nakuahidi😆
Haya nipe zawadi😁Nimelia kilio cha furaha kusikia hivyo 🥲.
Chagua zawadi uipendayoHaya nipe zawadi😁
Pesa 🫰🏾Chagua zawadi uipendayo
Wazee wa kiafrika kabla ya ujio wa uislamu na ukristo tayari walikuwa wanaishi kwa mfumo huo.Hata kibiblia na Quran, mwanamke anatakiwa kuwa chini ya mamlaka
Hilo limeisha.Pesa 🫰🏾
Limeishaje sasaHilo limeisha.
Ile code yako uliyonitumia ninayo 😎.Limeishaje sasa