mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Huu ukali unao hadi nje ya JF ama unatuchora?Kuna mpuuzi mmoja alisema mwanamke hata asome vipi atazidiwa akili na mwanaume ambaye halijui darasa, akaenda mbali zaidi akadai yeye hua anashauriwa na mtoto wake wa miaka 14 kisa ni mwanaume, pathetic!!
Btw! who run the world? (Women, Women, Women......)
Kuna wanaume wamechafukwa utakula ngumi😃