Watu wa makabila Kanda ya ziwa wana Roho Nzuri kuliko watu wa makabila ya Pwani

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Mimi nimezunguka sana kanda ya ziwa na Pwani, ila kanda ya ziwa watu wana roho nzuri sana hasa Wasukuma.... Msukuma unaweza kumkuta ni maskini wa mali ila tajiri wa roho. Msukuma uwa akunji roho kwa mgeni, hata kama hakujui ukienda kwake utapewa hadhi ya nyota 5.

Mimi niliwai kuingia huko Mwanza, Sengerema ndani ndani tulikuwa mpaka tunalazimishwa kula, yani uwezi kupita kwenye nyumba ya msukuma kwa jambo lolote ukiwa mgeni husipewe maziwa au viazi... hili uoneshe heshima unatakiwa kula.

Ukiwa mtumishi kanda ya ziwa mfano Daktari, Nesi au Mwalimu kila siku au kwenye mavuno utapokea zawadi ya nafaka au kuku kama shukurani kwa kuwasaidia kuwatibu au kuwafundisha watoto wao. Na kama ndio ndugu unasafiri basi kuku atakimbizwa na utafungashiwa au vyakula utawekewa uende navyo

Kwa upande wa Pwani ni hadithi nyingine, kwanza makabila ya Pwani hayana muda na wageni. Wewe unatakiwa ufanye kilichokuleta tu kisha urudi kwenu. Ukarimu haupo pande hizi, wao ni wapokeaji kuliko kuwa watoaji. Wao wanataka wewe mgeni ndio ulete zawadi au utoe chochote.
 
Kwanini Wahaya (Waziba) wanasemwa, "mbaly 'akajunzile"?
 
Ni kweli kabisa 🤝
 
Kanda ya ziwa nadhani ni sehemu zote ispokuwa kabila moja tu ya waluo hao usiwapimie lakini , wasukuma, wajita,wakere, wakara, wakwaya, waruri nk miaka nyuma wakati sisi tunakuwa watumishi wa serikali mfano walimu hakuna aliwahi kuja kufundisha pale alafu akaomba uhamisho. Wengi walistaafu wakiwa pale pale.
 
Mimi nimezunguka sana kanda ya ziwa na Pwani, ila kanda ya ziwa watu wana roho nzuri sana hasa Wasukuma.... Msukuma unaweza kumkuta ni maskini wa mali ila tajiri wa roho. Msukuma uwa akunji roho kwa mgeni, hata kama hakujui ukienda kwake utapewa hadhi ya nyota 5.

Mimi niliwai kuingia huko Mwanza, Sengerema ndani ndani tulikuwa mpaka tunalazimishwa kula, yani uwezi kupita kwenye nyumba ya msukuma kwa jambo lolote ukiwa mgeni husipewe maziwa au viazi... hili uoneshe heshima unatakiwa kula.

Ukiwa mtumishi kanda ya ziwa mfano Daktari, Nesi au Mwalimu kila siku au kwenye mavuno utapokea zawadi ya nafaka au kuku kama shukurani kwa kuwasaidia kuwatibu au kuwafundisha watoto wao. Na kama ndio ndugu unasafiri basi kuku atakimbizwa na utafungashiwa au vyakula utawekewa uende navyo

Kwa upande wa Pwani ni hadithi nyingine, kwanza makabila ya Pwani hayana muda na wageni. Wewe unatakiwa ufanye kilichokuleta tu kisha urudi kwenu. Ukarimu haupo pande hizi, wao ni wapokeaji kuliko kuwa watoaji. Wao wanataka wewe mgeni ndio ulete zawadi au utoe chochote.
Pwani kama Kikwete na genge lake
 
Back
Top Bottom