Madalali wasukuma wanaouza "Yaya" mikoani ni Jinai!

Madalali wasukuma wanaouza "Yaya" mikoani ni Jinai!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi.

Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa kwenda sekondari lakini mzazi wake anapatiwa kaujira kadogo huku mishahara ikielekezwa kwa madalali.

Mabinti hawa baada ya muda dalali hupiga simu na kusema waaazi wanamuhitaji, unamlipa nauli ya kurudi kwao lakini in real sense anapelekwa kwa mteja mwengine hapo hapo DAr.

Sasa, kosa la usafirishaji binadamu lipo, lifufuliwe na tusruhusu watoto wa kisukuma kukosa elimu.
 
Dada umejuaje hiyo real sense? Unaweza thibitisha hapa ?
 
Dada umejuaje hiyo real sense? Unaweza thibitisha hapa ?
Mahakamani ndio sehemu pekee watu huulizwa kdhibitisha.

Nimetahadharisha tu kwa madalali wa kisukuma, acheni kuchukua vitoto vya Dodoma, Singia na Mwanza.
 
Back
Top Bottom