mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 1,364
- 2,396
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu ni mapenzi yake ya moyo, hivyo kabila la mtu sio factors.
Japokuwa Mpina anatokea chama kidogo Tanganyika, ila ana Influence kubwa kuliko samia kwani , kete ya kwanza ya mpina ni Mtanganyika, Na kete ya pili ya mpina ni Msukuma kutoka kabila lenye idadi ya watu inayokaribia asilimia 50 ya population tanzania. hivyo kimzaa mzaa msishangae luhaga mpina akashinda urais wa Tanzania