CCM haina nia ya dhati ya kukuletea maendeleo. Ukiona mradi wowote wa maendeleo jua kwamba umeletwa ili watu wapige hela.

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,914
Reaction score
168,320
Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi.

Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi kuna hela zinazopigwa. Pia kuna mambo ya upembuzi yakinifu, mshauri, na ujinga mwingi.

1790516652335.png
 
Wewe Tulia acha hizo "Jezi za Taifa stars hazina ubora" Jezi za taifa stars ni bora"...Ukisikia Panya wanakimbizana ndani jua Paka hayupo au amelala.
 
Makonda anajiona akisema ni dunia nzima imesema.
Makonda aulizwe ubaya wa hizo jezi ni upi?
TBS ndio mamlaka pekee inayoweza kuelezea ubora/udhaifu wa bidhaa.
Makonda anajiona anajua kila kitu wakati ni form four failure
 
Waliojenga madaraja ya Kigamboni na Busisi wakiliona hilo dalaja la million 21 watajilaumu sana.
 
Huu ndio uhalisia wa Bongo,hata kwenye ukaguzi wa miradi ikitokea mkaguliwa hujawatengea fungu wakaguzi wa mradi utaonja joto la jiwe,asilimia kubwa wanaosemwa miradi imefanyika chini ya kiwango huwa wanafeli hili.
 
Huu ndio ukweli wenyewe. Miradi mingi imekuwa ikionhezea bei tofauti na gharama halisi.

Barabara ya Morogoro imebomolewa na kujengwa zaidi ya mara tatu, kwanini wasingeipanua mara moja na kujenga barabara itakayodu kwa miaka 50 ijayo? Jibu ni kwamba kwenye ubomozi kuna hela na kwenye ujenzi kuna hela zinazopigwa. Pia kuna mambo ya upembuzi yakinifu, mshauri, na ujinga mwingi.

View attachment 3679259
Gharama zimepanda wajameni, hamuoni hapo nondo, mbao, cement na kokoto zimetumika ?

Au nasema uongo ndugu zangu....
 
Back
Top Bottom