maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KSh10.2 Bilioni za Bomas Zitaishia Mifukoni mwa Nani? KTN Yafichua Mkataba Wenye Utata

    Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka. Katika uchunguzi uliotangazwa...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  3. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Elimu bora ni muhimu kwa Maendeleo ya mtoto wako

    Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani au kumsaidia kuongeza ufaulu wake shuleni? ELITE HOME TUITION SERVICES tunakuunganisha na walimu wenye sifa, uzoefu na uwezo wa kufundisha kulingana na mahitaji ya kila mwanafunzi. 📚 HUDUMA ZETU 1. Nursery & Kindergarten (KG 1–KG 3) 2...
  4. Panga Makalikuwili

    JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikiongozwa na Likud, Haitapiga hatua kubwa za maendeleo.

    Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ni msingi wa maendeleo, mshikamano ni nguvu ya taifa letu!

    Tanzania ni yetu sote. Tunatoka katika makabila, dini, mitazamo na maeneo tofauti, lakini sote tunaunganishwa na uzalendo na upendo kwa nchi yetu. Tofauti zetu hazipaswi kuwa chanzo cha chuki na migawanyiko, bali ziwe fursa ya kujifunza, kuheshimiana na kujenga umoja wetu. Tudumishe amani...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

    Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa. Tuheshimiane, tusikilize maoni ya wengine, tutatue tofauti zetu kwa mazungumzo na tuepuke vitendo vya uchochezi na vurugu. Tuilinde amani, tudumishe umoja na...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Update: Siku ya 8 toka nimeacha pombe maendeleo ni mazuri sana

    Japo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa. Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Miradi ya miundombinu ya China yachochea maendeleo ya kiuchumi magharibi mwa Kenya

    Katika vilima virefu na vya kijani vya Kaunti ya Kisii magharibi mwa Kenya, barabara mpya zinabadilisha maisha na kuchochea biashara ya eneo hilo. Malori yaliyojaa ndizi, maparachichi, miwa, na mawe ya kuchongwa sasa huondoka alfajiri, na kuwaingizia mapato ya haraka kulima wa eneo hilo. Kabla...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania congratulations 🎊 👏Pastor, Dr Mastahi Mungu azidi kukutunza

    Kiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana. Najua sio rahisi ndio maana wengi tunaona wanapita chocho wanaibuka na phd unaa zisizo na utafiti za kupewa na vyuo visivyotambulika...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video : Raia wa Kenya Ashangaa Mombasa Ilivyoachwa Nyuma kwenye Maendeleo na Zanzibar,Asema Watalii Wamekimbia Kenya Wanamiminika Zanzibar.

    My Take Rais Mwinyi angesikiliza ule upumbavu wa Wapinzani na kuacha kukodisha visiwa Kwa wawekezaji eti ataambiwa anauza Nchi Leo hii wasingepata maendeleo makubwa sekta ya I ya utalii. Ukweli ni kwamba sekta ya utalii Tanzania inabebwa na Zanzibar ndio inafuata Serengeti na Ngorongoro kiasi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

    Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana. Matokeo (outcome )yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya...
  14. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenge wa Uhuru sio msingi wa maendeleo ila ni chanzo cha wezi na wabadhirifu kuiba na kupiga mali ya umma?

    Mwenge umeshindwa kuwa na tija na faida kwa taifa letu la Tanzania. Hapa kuna uchambuzi wa takwimu za bajeti zinazohusika na mbio hizi, pamoja na hoja kuu za upande wa pili unaounga mkono Mwenge kama nguzo muhimu ya taifa. 💰 Makadirio ya Bajeti na Gharama za Mwenge Ingawa serikali haijaweka...
  15. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali inashangaza sana katika ujenzi wa barabara Dar es Salaam, ni nyembamba na haziendani na kasi ya maendeleo ya Jiji

    Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam. Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
  16. Slim

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi kwa Prof. Eliamani Sedoyeka kwa Mapinduzi ya Maendeleo (IAA Mkuu WA Chuo)

    Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Nchi Wanachama EAC Wakutana Kujadili Maendeleo Sekta ya Utalii

    Makatibu Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanaosimamia sekta ya utalii na wanyamapori wamekutana Oktoba 14, 2026 katika Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini Arusha, kujadili hatua za kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika kukuza utalii, kuhifadhi rasilimali za asili...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Zanzibar ni kiini macho tu?

    Mtalii asema nje ya Hotel nzuri zinazong'aa na beach za kitalii huko mtaani ndani ndani hali ni mbaya sana na umasikini umetamalaki!, afananisha Hali hiyo na "dystopian"
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere Oktoba 14, 2026: Baadhi ya Nukuu Muhimu za Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere

    Katika video hii ya kihistoria inayokumbusha misingi ya taifa, Mwalimu Nyerere anasisitiza kuwa maendeleo hayawezi kutenganishwa na uhuru wa watu binafsi. Kwa mujibu wa Mwalimu, maendeleo ya vitu (kama barabara na majengo) hayana maana ikiwa hayamkomboi mwanadamu na kumpa nafasi ya kuamua hatala...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa uhuru wageuka baraka kwa wafanyabiashara Sumbawanga

    Hashimu Arafat Makota, kinyozi katika Manispaa ya Sumbawanga, amesema ujio wa Mwenge wa Uhuru umeongeza fursa za kiuchumi kwa wafanyabiashara kutokana na ongezeko la watu, wakiwemo wageni, hali iliyochochea kuongezeka kwa wateja na kipato chao. Makota amepinga wanaobeza Mwenge wa Uhuru kwa...
Back
Top Bottom