Panga Makalikuwili
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 311
- 470
Raia hatutimizi wajibu wetu wa kuipambania nchi yetu. Wachache wanajaribu ila kundi kubwa la watanzania wanajiona hawahusiki juu ya hilo.Leo raia wa Tanzania wamewaachia wakatoliki wafanye maombi, kwao imetosha.Kwa ukubwa wa kilichotokea Oktoba 29 2025kweli hii ndio taswira yake!? Kwa hali hii watanzania tunamshawishi hata mwadilifu awe muovu..Hata kama tungetawaliwa na Likud ya Israel inayowapambania raia wake, hapa ingebadilika na kuwa ya uovu kwa raia wake kwa sababu isingejihisi kuwa inaweza kuwajibishwa na raia wake