congratulations 🎊 👏Pastor, Dr Mastahi Mungu azidi kukutunza

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Kiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana.

Najua sio rahisi ndio maana wengi tunaona wanapita chocho wanaibuka na phd unaa zisizo na utafiti za kupewa na vyuo visivyotambulika hata na TCU. Shame!!! My friend, My brother and My Pastor, Rev. Dr Mastahi, you deserve this and I salute you. "Give honor to whom honor is due"
 
CONGRATULATIONS
DK
 
Attachments

  • 1792615476595.jpg
    1792615476595.jpg
    92.5 KB · Views: 3
PAST ANAEJIELEWA ANAEJUA NN MAANA YA MAENDELEO YA KANISA
BE BLESSED
 
Kiukweli nikiona watumishi wa Mungu, wana wa ufalme wanaingia darasani na kusoma mavitu mazito, na kufanya tafiti na kupata titles OG sio feki, inatia moyo sana.

Najua sio rahisi ndio maana wengi tunaona wanapita chocho wanaibuka na phd unaa zisizo na utafiti za kupewa na vyuo visivyotambulika hata na TCU. Shame!!! My friend, My brother and My Pastor, Rev. Dr Mastahi, you deserve this and I salute you. "Give honor to whom honor is due"
Thesis yake imehusu nini?
 
Hilo andiko sio lako ni la Dr. Chriss Mauki ulipaswa ufanye citation ila umafanya kuwa ni wewe umetoa ujumbe huu
 
Back
Top Bottom