Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana. Matokeo (outcome )yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa. nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya .
 
Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya,
Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam, nawapongeza sana
Mtasema tu...niliwaambia hapa kuwa viongozi waislamu ni maadui wa WAZALENDO na UZALENDO ..MKABISHA ...NILISEMA , SIKU ZOTE MPUMBAVU UJIFUNZA KWA UCHUNGU NA MAUMIVU NA HASARA KUBWA KWA SABABU UPRACTICE UPUMBAVU WAKE MAISHANI.
 
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Sisi hayo maendeleo ya ulimwengu tu hayatuhusu sisi ni elimu akhera tuu pia tukipata pilau mbuzi soda na ndiz mbivu baaas tunasahau shida zote!!!
 
Mtasema tu...niliwaambia hapa kuwa viongozi waislamu ni maadui wa WAZALENDO na UZALENDO ..MKABISHA ...NILISEMA , SIKU ZOTE MPUMBAVU UJIFUNZA KWA UCHUNGU NA MAUMIVU NA HASARA KUBWA KWA SABABU UPRACTICE UPUMBAVU WAKE MAISHANI.

Ipi dini ya kweli
 
Umeifahamu?
 
Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya

Top ten ya wasomi wa JF.
Una degree ngap?
 
Mkipongezwa hamfurahi?
Sijasema hivyo ila wenzio ndugu katika imani wakiiona hii utapigwa mawe ufe ni sawa umekutwa unafanya jimai na mkeo ndani msikiti wa Mecca na Madina utapigwa mawe ufe unakumbuka wamesema ukigeuka ukawa kafiri basi upigwe mawe hadi ufe sasa naona leo umekua upande wa pili na kuuacha upande wako umehama Palestina unaanza kuisifia Israel hivi unafikiri Wapalestina watakuelewaje?
 
Mafia panajengwa misikiti ya mamilioni kila kukicha, wakati chuo cha veta kinapambana kupata wanafunzi inabidi mkuu aende mikoani kutafuta wanafunzi. Kulikuwepo na technical College iliyokuwa chini wa kanisa la roma..imebidi ifungwe kwa sababu wanamafia wako busy na madrasa. Umasikini wa Mafia unaweza kuushika kwa mkono kabisa
 
Back
Top Bottom