- Thread starter
- #21
Mbeya vijana na wazee wanashinda baa na vibanda ya pombe badala ya kaziMafia panajengwa misikiti ya mamilioni kila kukicha, wakati chuo cha veta kinapambana kupata wanafunzi inabidi mkuu aende mikoani kutafuta wanafunzi. Kulikuwepo na technical College iliyokuwa chini wa kanisa la roma..imebidi ifungwe kwa sababu wanamafia wako busy na madrasa. Umasikini wa Mafia unaweza kuushika kwa mkono kabisa