Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Kitu ambacho wewe haukijui hizo taasisi zote walizonazo zimejejengwa Kwa ruzuku wanayopata serikalini
 
Sheikh walisema tutakunywa pombe tukifika kwa allah mbona wewe leo umeinywa ukiwa duniani?
 
Kitu ambacho wewe haukijui hizo taasisi zote walizonazo zimejejengwa Kwa ruzuku wanayopata serikalini
Ongeza chekechea, sekondari za kanisa, vyuo vikuu, makanisa vyote vinajengwa na serikali!
Nawewe kafsidike.
 
Lakini matajiri wakubwa Tanzania ni Waislam, Bakresa, Dewji, GSM, Turkish, wote Waislam, wamiliki wa vituo vya mafuta, makampuni makubwa ya usafirishaji wote ni Waislam
Hata tajiri mkubwa zaidi Africa Dangote ni Mwislam tena swala tano
Mimi nimezingumzia elimu wewe unaleta hoja ya matajiri ❌ aliekwambia wasomi ndio matajiri ni nan? Elimu dunia inasaidia kutoa matongotongo kweny ubongo!!
 
Mimi nimezingumzia elimu wewe unaleta hoja ya matajiri ❌ aliekwambia wasomi ndio matajiri ni nan? Elimu dunia inasaidia kutoa matongotongo kweny ubongo!!
Point ya elimu ni kutoa huduma Bora kwa watu, kuzalisha bidhaa kwa watu, kusimamia rasilimali ulizo nazo kwa ubora na kuzizalisha, obviously mtu tajiri lazima atakuwa anamudu haya ndio maana akawa tajiri,
 
Mimi nikajua Waislam na umma wa wote wa Muhamad ndiyo bora kabisa katika kila nyanja. Kumbe tena wanatakiwa wawaige makafiri kwenye maendeleo? Sasa ubora wao uko wapi? Bure kabisa hawa wafuasi wa marehemu Muhamad
 
Waislamu hawana uwezo wa kupata?
Nimewahi andika mara mbili au tatu kuwa wewe nnje ya ufanatic wa dini, una akili nzuri.
Sikulazimishi utoke huko kwenye unayoita "dini ya haki", ila ningefurahi sana kama utaendeleza hizi kampeni zako za kuwafungua akili wenzako na kuleta maendeleo yenu ya kidunia kabla ya kufika kwenye nchi ya mito ya pombe na mabikira 72.

Mungu akubariki sana uijue kweli na kweli ikuweke huru.
 
Back
Top Bottom