Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 8,461
- 19,779
Kwanza duniani tunapita tu.Tusome dini, haya mambo mengine hayana maana Sheikh
Kwanza duniani tunapita tu.Tusome dini, haya mambo mengine hayana maana Sheikh
Maalim, Sheria MotoMkipongezwa hamfurahi?
Watu wa dini mnakazi sanaa
Ukute mtu dini yake inamuita KONDOO
Unategemea mtu huyu kichwani ziwepo au ndo kuinama twende tu kama kondoo.
Ndiyo nilicho eleza..kuwa waislamu siyo wazalendo..hii inawafanya kuwa matajiri maana wanaweza kuuza hata nchi ..cha msingi wao wapate pesa tu... ..UZALENDO NDUGU YAKE UJAMAA NA UBEPARI NDUGU YAKE UBINAFSI.Lakini matajiri wakubwa Tanzania ni Waislam, Bakresa, Dewji, GSM, Turkish, wote Waislam, wamiliki wa vituo vya mafuta, makampuni makubwa ya usafirishaji wote ni Waislam
Hata tajiri mkubwa zaidi Africa Dangote ni Mwislam tena swala tano
Mbeya vijana na wazee wanashinda baa na vibanda ya pombe badala ya kazi
Mkuu ni vema umelitambua hili.Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Sasa mnalalamika nini mitandaoni sijui umaskini wakati kila sekta mumeshika?Mkuu ni vema umelitambua hili.
Imani inabaki kuwa imani, lakini maendeleo yanahitaji nyenzo nazo ni elimu, afya na miundombinu.
Wafanyabiashara wengi na wakubwa ni waislamu, lakini hawatumii mitaji yao katika miradi ya afya na elimu kwa watanzania wote bila kubagua.
Hili inabidi wajirekebishe.
mbona unakinzana na hoja yako ya uzi sasa?Sasa mnalalamika nini mitandaoni sijui umaskini wakati kila sekta mumeshika?
Hujasoma vizuri na kuelewa mchango wangu.Sasa mnalalamika nini mitandaoni sijui umaskini wakati kila sekta mumeshika?
Soma hoja yangu kwa utulivu sana inatakiwa uwe na D angalau 4 kuifahamumbona unakinzana na hoja yako ya uzi sasa?
comment namba #48 kuna clip ya mufti hapo msikilize, attack unayotaka kufanya haina msaada kwa jamiiSoma hoja yangu kwa utulivu sana inatakiwa uwe na D angalau 4 kuifahamu
Mufti akabaki Mufti, ni binaadamcomment namba #48 kuna clip ya mufti hapo msikilize, attack unayotaka kufanya haina msaada kwa jamii
Uongo ndio sifa ya ile dini yenu, na uongo ndio sifa kuu ya Ibilisi.Mbeya vijana na wazee wanashinda baa na vibanda ya pombe badala ya kazi
mufti alikua akizindua zahanati iliyojengwa na nguvu ya waumini, na akasema waislamu waamke kwenye shughuli hizi za maendeleo. maneno ya mufti yanaingia akili hata kama wewe hutaki.Mufti akabaki Mufti, ni binaadam
Kwa upande wa pili wa shlingi?mufti alikua akizindua zahanati iliyojengwa na nguvu ya waumini, na akasema waislamu waamke kwenye shughuli hizi za maendeleo. maneno ya mufti yanaingia akili hata kama wewe hutaki.
watu kama kina MO, bakhera, gsm, jamaa wa masheli wale na wadau wa aina hiyo wameshindwa kutoa hata shule 2 za kiushindani wewe bado unamuona mufti hajatoa point?
Mataifa yote yanayoongoza kwa maendeleo na maisha Bora kwa watu wake ni ya kibepari.Ndiyo nilicho eleza..kuwa waislamu siyo wazalendo..hii inawafanya kuwa matajiri maana wanaweza kuuza hata nchi ..cha msingi wao wapate pesa tu... ..UZALENDO NDUGU YAKE UJAMAA NA UBEPARI NDUGU YAKE UBINAFSI.