taifa letu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Hii kalabo ya CCM serikali na machawa vinaliua taifa letu kwa Kasi ya ajabu awamu hii haijawahi tokea.!

    Kama mada inavyojieleza hapo juu. Ni kwamba kwa kawaida Ilitakiwa chama kiisimamie serikali ili serikali isifanye ubabsishaji katika kuwahidumia wananchi, ila sasa hali ni tofauti kabisa kwani ccm pamoja na serikali wameingia kwenye ndoa tamu sana ambapo kila mmoja anatafuta namna ya kumbeba...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ni msingi wa maendeleo, mshikamano ni nguvu ya taifa letu!

    Tanzania ni yetu sote. Tunatoka katika makabila, dini, mitazamo na maeneo tofauti, lakini sote tunaunganishwa na uzalendo na upendo kwa nchi yetu. Tofauti zetu hazipaswi kuwa chanzo cha chuki na migawanyiko, bali ziwe fursa ya kujifunza, kuheshimiana na kujenga umoja wetu. Tudumishe amani...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Amani ni msingi wa maendeleo ya taifa letu

    Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa. Tuheshimiane, tusikilize maoni ya wengine, tutatue tofauti zetu kwa mazungumzo na tuepuke vitendo vya uchochezi na vurugu. Tuilinde amani, tudumishe umoja na...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Imagine kiongozi wa Chama kilichopokea ruzuku bil. 2.7 anatamka matamshi haya, Hii ni hasara kwa Taifa. CHADEMA acheni kucheza na Taifa letu.

    Kauli kama hii ingetokea China ... Tundu Lissu angenyongwa hadharani tena kwenye uwanja wa mpira siku hyohyo pamoja na watumishi wote wa hicho chombo kilichopost UPUMBAVU. Kisa familia zenu zipo kwa mabeberu kwahyo hamna cha kupoteza ndo mnafanya KAZI ya kuhubiri ujinga CHADEMA KOMENI HII...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

    Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana. Matokeo (outcome )yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya...
  7. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere: Mafanikio, mapungufu na misingi ya taifa letu.

    Happy Nyerere day Tanzania 🇹🇿 Leo ikiwa ni kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyezaliwa tarehe 13 Aprili 1922 na kufariki tarehe 14 Oktoba 1999, ni vyema tukajikumbusha historia yake na mchango wake katika taifa hili. Nyerere wakati anafariki...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  10. Isanga family

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga aliyemshambulia kocha wa Gaborone Utd akamatwe. Caf waifungie Yanga. Ushamba na upuuzi kama huu ni aibu kwa taifa letu

    Yanga watafungiwa kucheza mechi bila washabiki uwanjani kwa kosa hilo wewe mshabiki wa Simba huyo mshabiki ni wa hovyo sana pia inawezekana akawa mshabiki wa Simba alievaa jezi ya Yanga inatakiwa afuatiliwe sana kumjua vizuri zaidi.
  11. Bishweko

    JamiiForums Tanzania Siku CHADEMA tukichukua nchi nini tutafanya kwa taifa letu?

    Mara nyingi wananchi hasa watanzania wamekuwa na hamu sana kusikia au kujulishwa kuwa CHADEMA tukichukua nchi na kuunda serikali kama chama tawala nini tutafanya kwenye hili taifa. Kwanza kabisa wananchi watanzania watanufaika na uhuru wao na haki za binadamu. Kila mtanzania atakuwa huru kutoa...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu hawataki katiba mpya, maandamano makubwa yaitishwa mpaka taifa letu lipate katiba mpya.

    Bila maamdano haki haipatikani. Maandamano yaitishwe nchi nzima mpaka waseme po. Katiba mpya ndio suluhu ya ufisadi na na wanasiasa wezi kama CCM mtandao. Bila maandamano hatupati katiba mpya.
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUDUMISHE UTAMADUNI, TULINDE AMANI, TUJENGE MARIDHIANO. UMOJA WETU NI NGUVU YA TAIFA LETU.

    Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la Kitaifa la Utamaduni amesema kuwa Mhe. Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN alionekana kucheza mchezo bao...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mpasuko ndani ya CCM unaenda kuliponya taifa letu

    WanaCCM mtandao ambao walishaligeuza taifa letu shamba la bibi watazidiwa nguvu. Wazalendo wa kweli watashinda. Mtifuano huu unakwenda kuliponya taifa letu.
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi uchawa wote kusifia uovu wa CCM ni kwa sababu alisoma na Rais Samia. Taifa letu halitapata wasomi kama akina Sengondo Mvungi (RIP).

    Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli? Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini. Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i Dk Denis kusifia uovu wote wa...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni suala baya sana kama taifa, utekaji na kupoteza uhai wa raia siyo suruhu ya matatizo ya taifa letu

    Unamteka mtu na kumpoteza. Familia na ukoo mzima wanaumia. Jamii inayomzunguka inaumia na kutengeneza kidonda ambacho hakiponi. Watu wanajawa na chuki. Wanawaza kulipa kisasi kwa kupoteza wapendwa wao. Watalipa vipi visasi? Hapa ndipo tunazalisha tatizo kubwa amabalo ni jipu ambalo haliwezi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Itatuchukua Miaka Mingi saana Kumpata Rais Mchapakazi Aina ya Samia Anayeshinda na Kukesha Akifanya Kazi. Maisha Yake Ni Sadaka Kwa Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Anachofanya na kukifanya Rais Wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa Sasa ni Zaidi ya Uwajibikaji ,Ni Zaidi ya Kujitolea, ni zaidi ya kutimiza Majukumu yake ,ni zaidi ya kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba ,ni zaidi ya kutumikia nafasi ya...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kama taifa letu linahitaji maridhiano. CCM wameidhulumu nini CHADEMA? Maridhiano sio ngonjera

    CCM mnahubiri juu ya reconcilliation. Kwa kizungu ni maridhiano. Maridhiano hufanyika baadsa ya pande mmoja kudhulumu pande nyingine. Hass kwa kufanya mauaji na utekaji kama kule Afrika ya kusini. Kwa hapa Tanzania CCM wanataka maridhiano kwa sababu zipi?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
Back
Top Bottom